APP hii inanyonya chaji kwenye simu yako, ifute!

APP hii inanyonya chaji kwenye simu yako, ifute!

Je, kwasisi ambao tumeROOT simu zetu na tunatumia application ya PURIFY pamoja na SUPERUSER & KING ROOT. JE, hizo hazimalizi chaji? Chief-Mkwawa Hans Pol
 
Je, kwasisi ambao tumeROOT simu zetu na tunatumia application ya PURIFY pamoja na SUPERUSER & KING ROOT. JE, hizo hazimalizi chaji? Chief-Mkwawa Hans Pol
Mm naijua greenify hio ndo nayoona ni ya kwel inapunguza kabisa matumiz ya ram pamoja na kuongeza life ya battery mana inaua background process zote za app na hazi amki labda had uende ku acces hio app tena
 
yap greenify ipo verified ni app nzuri na pia haifanyi kazi kama clean master na wenzake
 
Je, kwasisi ambao tumeROOT simu zetu na tunatumia application ya PURIFY pamoja na SUPERUSER & KING ROOT. JE, hizo hazimalizi chaji? Chief-Mkwawa Hans Pol

hizo app ni must have kama una root sababu zenyewe zinakaa kama guide/mlinzi wa tundu la root zinazipa ruhusa kwa ridhaa yako apps zinazotaka kupata access ya root. japo hiyo purify mimi siiamini unaweza ukaishi na superuser au super su bila hao.
 
hizzo app zinakupa tu illusion ila kiukweli ni majanga. hebu fikiria hivi.
1.App inajirate yenyewe playstore bila idhini yako na kujipa score ya 5/5 (100%) kama huamini ingia sasa hivi store then cheki ratings za du battery booster or du whatever hapo tayari inaifanya hii app kuwa malware (kirusi)

2. unaipa ruhusa ya device administrator (nenda setting then security then device administrator) na administrator ana power ya kunchungulia kila mtu so data zako zikiibiwa usimlaumu mtu.

tuje sababu za kitaalamu kwanini hizi app za kuboost sijui battery au perfomance hazifai

1. zinaclean RAM
kwa android hiki kitu ni useless sababu ukifunga app za ram zinajifungua tena hapo hapo hivyo process inajirudia rudia app inajifungua du anafunga hii process ikijirudia simu inafanya kazi sana na kula battery na kupunguza perfomance

2. ina clear cache
cache are meant kufanya apps ziwe faster sababu zile most used files zinaekwa huko ili zisiload kila mara unapoclear cache unafanya app iwe slow sababu itaanza kuload upya

na proof ya hapo juu kila ukiscan unakuta du au clean master inapata junk files za kufuta sasa jiulize why haziishi hizo junk file? jibu ni simple clean master/du akifunga zenyewe zinajifungua.

ushauri wangu zitoeni hizi app kwenye simu zenu zinakula sana charge na kufanya simu ziwe slow.

tumia app kama es file explorer ni file manager itasaidia kutoa unnecessary files bila kuingilia mambo ya apps nyengine
Baada ya kuweka feature ya app permision nasubiri simu zenye marshmallow nizijaribu ingawa iOS is my favorite smartphone OS after Symbian OS
 
Antivirus gani nzuri niweke kwenye simu yangu android Mimi nimeweka avast Je ni nzuri
 
Mimi nime-root simu yangu, app ikileta figisu figisu inakula mweleka
 
Mkuu mimi mwenyew nimeroot simu yang but kila nikitaka kuziondoa baadh ya system apps zinakuwa zinanipa warning vip hii imekaje
Mimi apps kma bbm, email, talkback, palmchat na vi-app vingine nimetoa vyote....

Ila usitoe app ya system tuu...manake simu haitofanya kazi
 
Back
Top Bottom