Apoteza maisha wakati akiogelea

Apoteza maisha wakati akiogelea

Kuogelea mtoni ni hatari.Mto huwa na sehemu zile ambazo maji huwa yanazunguka Kama kiduara duara ulifika hapo unasimamishwa halafu unavutwa chini maji unaenda swekwa kwenye shimo ndani kabisa chini ambako huwezi ogelea hata ufanyaje. Utafia huko ndani maiti itaelea baadaye. Kuogelea mto watu huogelea sehemu chache Sana za mto.
Kwa kutumia neno "swekwa" ni wazi una ujuzi fulani kuhusu mpangilio wa mizigo melini. hahahaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nakumbuka tukiwa primary tulikuwa tuaogerea uo mto kiwila sehemu moja inaitwa chantu nakumbuka tulimpoyeza mwenzetu alikuwa anaitwa dani ndan ya mto huohuo dah sitosahau uo mto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom