Ridhy busy
Member
- Aug 1, 2016
- 18
- 1
Msaada jmn waungwana nilikua najaza form ya chuo TCU ss baada ya kulipia mpesa nikaingiza zile code zao za mpesa ss inakataa inasema ishatumika na bdo cjalogin in
Non-refundableIrudishe. Waambie umekosea hukutaka kutuma TCU,
Msaada jmn waungwana nilikua najaza form ya chuo TCU ss baada ya kulipia mpesa nikaingiza zile code zao za mpesa ss inakataa inasema ishatumika na bdo cjalogin in
Ijaribu Mara kwa Mara itakuja kukubaliMsaada jmn waungwana nilikua najaza form ya chuo TCU ss baada ya kulipia mpesa nikaingiza zile code zao za mpesa ss inakataa inasema ishatumika na bdo cjalogin in
Mkuu jarbu mara kwa mara mara nyung inakuwa hivo ila mambo yakikaa sawa utatumiwa ila pia ikumbukwe kuwa mida kama hii kuna wengi wanapoteza hela sana mkuu tumwombe mungu usiwe mmoja wao!Msaada jmn waungwana nilikua najaza form ya chuo TCU ss baada ya kulipia mpesa nikaingiza zile code zao za mpesa ss inakataa inasema ishatumika na bdo cjalogin in
Ina maana zile code za m pesa zilikubali alafu wakakuletea username na password hukucopy mahali ukajua watatuma kwenye e mailSs tufanyaje jmn coz wanasema wametuma kwny email yko then kwny email hawajatuma
Angalia SPAM messages kwenye email yakoooNishachanganyikiwa hapa aseee na email hawajatuma nimepiga hawapokei email hawajibu nimeongea vodacom mpesa wakasema niende nacte wakati nauri 120,000
Naomba Msaada Ambao Si Wa Kudharaulika! Mimi ingawa Ni Diploma Holders (DIPLOMA IN PHARMACEUTICAL TECHNICIAN) Lakini Pia Nimemaliza A-Level PCB na nimepata Principal Ya Physics & Biology.
Lakini Nilipoingalia GuideBook Nikakutana Na Maneno Haya Ambayo Yamenipa Matumaini:-
"(Diploma in Pharmaceutical Sciences or GPA of 3. 5 With an average of . Principal passes at any grade in Physics/ Mathematics, Chemistry or Biology at “A” level will be an added Advantage)"
Sasa Kwakweli Baada Ya Kuona Kuwa Ukiwa Na Pricipal Ya Aina Yoyote Hile Kwenye (M/PCB) unapewa Kipaombele! Nimevutiwa Na Kujaza Matokeo Ya Advance Huko TCU.
Swali Langu Ninalowauliza Kutaka Kusaidiwa Ni Jee Katika Hiyo System Ya TCU ipo Sehemu Ya Kujaza Matokeo Ya Advance??