Msomba mpe credit zake mwana,mimi pia nimeona utofauti kwenye screen capture yake hizo top form n.k[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hakuna kipya hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
kazi kazi
Tumia Game Guardian
http://srv1.racaty.com:182/d/qqfaht...xbmsvssjouxr/dream-league-soccer-2017-mod.apkhii na ipata wapi playstore? nimeseach Google hakuna kitu nipe link
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka tumia hy link then utadownload Kwan kutumia data then install hill game... Litasema halijakamiika download kupitia plyastore Kwan kutumia wifi
hapa ulishinda 15-0 sio?kazi kazi
Yaaap mkuu" walijichanganya hiyo scorehapa ulishinda 15-0 sio?
Poa poa
Tukutane saa ngapi tuikichape
Nikija Tier 1&2 msinikimbie aseeeeeee[emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100] [emoji100]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sent from my IPhone 8+ using Jamii Forums mobile app
Nakusubiri online..
Hivi toka tuanze tambo za kukutana online kuna watu wamewahi kutana HUMU???