apewe urai wa wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

apewe urai wa wapi?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by aseenga, Oct 26, 2011.

 1. aseenga

  aseenga Member

  #1
  Oct 26, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 25
  jmani kuna jambo linanisumbua, suala lenyewe ni kwamba kuna mwanamke mjamzito alikuwa anasafiri kwa ndege kutoka fillipenes kwenda marekani. kilichotokea ni kwamba ndege ilipokuwa katika ang ya kimataifa bac yule mwanamke alipata uchungu na kujifulia ndani ya ndege. swali je mtoto huyu atakuwa raia wa nchi gani?
   
 2. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Aseenga hivi umekula leo?
   
 3. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Atakua raia wa tanzania.
   
 4. The last don

  The last don JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 573
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 60
  Atakuwa raia wa kwenye ndege.
   
 5. K

  Kindimbajuu JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 711
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  inategemea na sheria za hizo nchi mbili zinasemaje, ila uraia wake utakuwa kwenye nafasi ya kajadiliwa pale atakapo andikisha kuzaliwa kwake, yaani kwa habari hii yako ni kuwa mtoto atatolewa tangazo la kuzaliwa akiwa marekani. wakati huo akiwa marekani ndo cha kwanza itakuwa ni juu ya sheria ya marekani inasemaje. kama inaruhusu mtu kuwa raia wa marekani kwa kuzaliwa bila kujali uraia wa mzazi basi atakuwa mmalekani, namna nyingine itabidi akaangalie huko ufilipino nako ku nasemaje. mara nyingi ktk hali hiyo huyo mtoto atatakiwa kuomba urai wake kutoka moja kati ya nchi hizo au nyingine yoyote.
   
 6. aseenga

  aseenga Member

  #6
  Oct 26, 2011
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 88
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 25
  joseph nimekula, hiyo issue ni ya kweli imetokea.
   
 7. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #7
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Ok kama umekula,mtoto atakuwa raia wa umoja wa mataifa
   
 8. G

  Gwaks makono Senior Member

  #8
  Oct 26, 2011
  Joined: Aug 27, 2011
  Messages: 110
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Atakuwa raia wa ndege ilikosajiliwa au ilikoandikishwa!
   
 9. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2011
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Waache kujiangaisha kuulizana maswali wakati dogo yupo around,cha kufanya wamuulize dogo ubraza men(kama boy) au usista duu(kama girl) hapa marekani au Tsunami na mitetemeko ya ardhi hapa ufilipino yeye anachagua nini.
   
 10. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #10
  Oct 26, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,150
  Likes Received: 3,339
  Trophy Points: 280
  Hana uraia wA nchi yoyote huo..because hajazaliwa within any national boundary.
   
 11. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,980
  Likes Received: 6,628
  Trophy Points: 280
  atakua raia wa anga za kimataifa.mia
   
 12. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #12
  Oct 26, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Atakuwa hana uraia wa nchi yoyote.
   
 13. s

  seniorita JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Interesting...challenging and awesome...an international baby
   
Loading...