Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
mahaba niue lol yakikolea sana huwezi kuficha kilicho moyoni hongera nelson
vipi Umeipata PM yangu?
Pm za wadada wote zimefungwa, kama unachat na mtu pm ukijua ni demu jua ni dume hilo...
Hahahaaa kwa hiyo unamaanisha mi dume?
Pm yako imefungwa au haijafungwa??
MWEEE!!! KWA HIYO PM ZANGU ZOOTE KWA KING`ASTI ZINASOMWA NA KIDUME?:confused2:Pm za wadada wote zimefungwa, kama unachat na mtu pm ukijua ni demu jua ni dume hilo...
MWEEE!!! KWA HIYO PM ZANGU ZOOTE KWA KING`ASTI ZINASOMWA NA KIDUME?:confused2:
PM haijanipa cha maana zaidi ya kutukanwa na madada wa humu JF bila wao wenyewe kujitathmini, kutulia na kutafsiri mambo kwa wakati.