Apewa talaka baada ya ndoa.

Apewa talaka baada ya ndoa.

Hivi mirna92 kwanini husikii? Kila siku nakwambia jicho hilo linanimaliza, mi PM yako sijui ilipo. Unanimaliza mtoto wa mwanamke mwenzio [emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23] mbona upo bado mi sijakumaliza bwana
 
Hata kama kachorwa na mwanamke mwenzake talaka ilikuwa halali yake.
Binti ni mdogo pengine hakupata mafundisho mazuri kwao na huenda hata hakujua kama angemuudhi bwana alichojua yeye ni kumfurahisha mume hivyo mume angemsamehe na kumpa mafunzo mazuri.
 
Nahisi mchoraji atakuwa ni wewe mirna 92
Mi sijui hata kuchora kwanza mi msukuma hinna na mimi tofauti japo napenda kuona mwanamke kachora hinna,
Ila we kama una tatoo kaa mbali na mimi.[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari za eid ndugu wana jf?
Swali kwenu wanaume hivi unaanzaje kumuacha mwanamke uliempenda kwa dhati?
Au mnakuaga mnajaribu tu hayo mapenzi?
Huyu kaka kanikera sana baada ya kumpa talaka mke wake masaa machache baada ya ndoa
Kisa kachora hinna mpaka kwenye k,
Kwani hampendi tupendeze kwa ajili yenu?
Ila mi binafsi sipendi mwanaume mwenye tatoo kama unatatoo kaa mbali na mimi.
View attachment 1120666View attachment 1120668
Ishu sii hina kinachoumiza hapo aliekuchora ni ni jinsia gani kama ni mwanaume hapo ndo shida kidogo
 
Mume kawaza mbali sn ,aliemchora kwel hajapima ata oil ? Wivu ukamkolea kapiga red card
 
Ndio mi sipendi mwanaume mwenye tatoo,
Na hinna mimi binafsi siipendelei sana japo wanaochorwa huona wamependeza.
Mambo yasiwe mengi
Kikubwa upendo
Huenda jamaa hakua akipendelea inna
 
Habari za eid ndugu wana jf?
Swali kwenu wanaume hivi unaanzaje kumuacha mwanamke uliempenda kwa dhati?
Au mnakuaga mnajaribu tu hayo mapenzi?
Huyu kaka kanikera sana baada ya kumpa talaka mke wake masaa machache baada ya ndoa
Kisa kachora hinna mpaka kwenye k,
Kwani hampendi tupendeze kwa ajili yenu?
Ila mi binafsi sipendi mwanaume mwenye tatoo kama unatatoo kaa mbali na mimi.
View attachment 1120666View attachment 1120668
"" Ila mi binafsi sipendi mwanaume mwenye tatoo kama unatatoo kaa mbali na mimi. "'
Bahati nzuri wewe sio muoaji,ni muolewaji
 
Tumejua hupendi mwanaume mwenye tattoo
 
Mimi sina tattoo, nikae karibu na wewe?
 
"" Ila mi binafsi sipendi mwanaume mwenye tatoo kama unatatoo kaa mbali na mimi. "'
Bahati nzuri wewe sio muoaji,ni muolewaji
Kwa maana hiyo sina haki ya kuchagua?
 
Back
Top Bottom