Sasa hata kama ni mwanamme aliyemchora, si ilikuwa ni ajira tu ya muda mfupi ya kumpamba Bi harusi. hahahahahahaah
Tunatofautiana mioyo mkuu, hatujui jamaa alifikiria nini.Angemsamehe tu kuliko kumfanyia hivyo.



Itakuwa vizuri sana, maana nimechoka kuwa Single...Sawa ondoa hofu tutayajenga na tukiendana hakutakua na kizuizi
Napenda sana, huwa mwanamke ananivutia sana akiwa na henaPole na usingle, sasa nawe unapenda hina?
Si hilo tu, bali naamini tutaendana kwa mengi zaidiMi nadhani kwa hili tutaendana.

Hapo sasa hatujui kilichoko nyuma ya pazialakini alie mchora ni mwanamke mwenzake mkuu.