Apewa mke kwenye msiba wa mkewe

Hapana mpenzi... ni maswala ya mila na desturi. Hata sisi kule kwetu ukifiwa na mke unaambiwa uchague ndugu yake yoyote utakayempenda... bure kabisa bila mahari. Wana imani mtu hawezi kutesa watoto wa ndugu yake.

Baada ya kusema hayo napenda kukufahamisha kuwa usiku nimeota tumelala wote Washington... na nimeambiwa tusipoifanyia hii ndoto kazi.. mmoja wetu (hasa wewe) atakufa.

Ukiwa tayari unambie...
Duuu!!!Fursa juu ya fursa
 
mahari wakati anajua atanufaika zaidi ya hapo..

Ila huyo mzee amekosea hivi;
angemuambia mkwewe kua akiondoka aondoke na mdogo wa marehemu mmoja ili akamsaidie kipindi hiki cha upweke

huku anamwita binti pembeni anampangaaa...ajilengeshe!!

mwenyewe mume angeingia 'kingi'mpk kinaeleweka!!!
This was supposed to be the way...
 
hahaaaa....mzee kaangalia fursa anajua akioa pale home atanunuliwa na gari kabisa na bado msaada atakua msaada kwa wakwe

sidhani km angekua mume mbaya angekubali kumpa mwanawe tena

ishu ya wajukuu hiyo ni "defensive mechanism" tu ili asionekane yuko kimaslahi

BTW pole na msiba shosti
Mzeeee hatak kuachia fursa
Iende kwa mwingne
 
mahari wakati anajua atanufaika zaidi ya hapo..

Ila huyo mzee amekosea hivi;
angemuambia mkwewe kua akiondoka aondoke na mdogo wa marehemu mmoja ili akamsaidie kipindi hiki cha upweke

huku anamwita binti pembeni anampangaaa...ajilengeshe!!

mwenyewe mume angeingia 'kingi'mpk kinaeleweka!!!

Haa haa aiseee

Kambinu kazur

Kweli kweli
 
Pole kwa msiba madam

Mzeee aliwah angesubr
Kidogo dan apunguze

Maumivu kwanza
 
Hapana mpenzi... ni maswala ya mila na desturi. Hata sisi kule kwetu ukifiwa na mke unaambiwa uchague ndugu yake yoyote utakayempenda... bure kabisa bila mahari. Wana imani mtu hawezi kutesa watoto wa ndugu yake.

Baada ya kusema hayo napenda kukufahamisha kuwa usiku nimeota tumelala wote Washington... na nimeambiwa tusipoifanyia hii ndoto kazi.. mmoja wetu (hasa wewe) atakufa.

Ukiwa tayari unambie...
Hahahaha......babu katika ubora wako hutakagi masihara ktk haya mangwasuma.
 
We sky eclat ni kikongwe kama bibi faiza fisi!!! Tuassume mlisoma komunio mkiwa na miaka 10 kila mmoja halafu tuassume tena jena aliolewa akiwa na miaka 15,baada ya miaka 20 inakuwa ni miaka 35....plus nakuongezea na miaka ya bonus mitano!!! Jumla una miaka zaidi ya 40+!!!! Na bado upo single hujaolewa unadandia waume za mashost wako!! Bila shaka usharuka madebe na dany!!
 
Hapana mpenzi... ni maswala ya mila na desturi. Hata sisi kule kwetu ukifiwa na mke unaambiwa uchague ndugu yake yoyote utakayempenda... bure kabisa bila mahari. Wana imani mtu hawezi kutesa watoto wa ndugu yake.

Baada ya kusema hayo napenda kukufahamisha kuwa usiku nimeota tumelala wote Washington... na nimeambiwa tusipoifanyia hii ndoto kazi.. mmoja wetu (hasa wewe) atakufa.

Ukiwa tayari unambie...
hahahahaaaaaaa
 
mahari wakati anajua atanufaika zaidi ya hapo..

Ila huyo mzee amekosea hivi;
angemuambia mkwewe kua akiondoka aondoke na mdogo wa marehemu mmoja ili akamsaidie kipindi hiki cha upweke

huku anamwita binti pembeni anampangaaa...ajilengeshe!!

mwenyewe mume angeingia 'kingi'mpk kinaeleweka!!!
Tena angeingia kingi vizuri tu. Sasa baba mwenyewe kaanza vibaya
 
hiyo mparokia haina jumuiya? mim i nijuavyo mgeni hutambulika jumuiyan paroko anakuwa na muda hadi wa udalali wa mitaa?
 
Back
Top Bottom