APC UPS

Nimepima battery zipo zero.something .
Wasiwasi wangu ni kwaninihitaki hta kuonyesha power inaingia unapoconnect kwenye umeme
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inamaana battery zikiwa zimekufa haiwezi hata kuonyesha kua inapokea umeme au kuwaka unapoichomeka kwenye umeme???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mashukuruni kwa mawazo yenu wote mliochangia, nilifanikiwa kununua batteries mpya na kuweka ikafanikiwa na sasa naitumia vizuri tu, changamoto ni moja tu kama mnaweza kunisaidia, ni kwamba kama sijaiconnect kwenye AC outlet haiwaki ila nikiwa nimeiconnect halafu umeme ukikata inaendelea kuwa online, so inawekana kuiwasha pasipo kuwa connected kwenye AC maana sidhani kama ni tatizo naona ni system yenyewe imeundwa hivyo, ahsante
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…