Jibu kwanza haya maswali.-Tatizo lilianza ghafla au Lilianza vipi?
- Kabla ya kufikia hatua hiyo kuna msg yoyote ilikuwa I nakuletea kama warning?
- Je uliiacha mda mrefu bila kutumia na ulipokuja Kuwasha ndio Ukakutana na hali hiyo?
- Unapobonyeza power switch kuna beep yoyote inatokea?
- umeaangalia fuse Kama ipo sawa?
Hapana sijaweka, ila jata kama betri zimekufa si ingeonyesha kupokea moto then ndio isingekaa na powerUmejaribu kuweka betri zingine na ikagoma?
@P chatila Jibu kwanza haya maswali.
Kwa hyo Taa ya Kijani haiwaki?? Na vipi ukiichomeka kwenye umeme unasikia sauti za Relay Switch zikifunga na kufungua??1.sikuwa naitumia nilikuta somewhere imewekwa tu.
2.sijui kama iliwahikuwaletea meseji yyt maana sio watu wenye uelewa wa mambo ya umeme/vifaa
3.ndio iliachwa kwa mda mrefu sana
4.hakuna beep yyte ninapoiwasha
6.nimefaribu kuifungua niangalie fuse ila nimeshindwa kuitambua.
NB:niliifungua ili niangalie km kwenye motherboard km kutakua na short yyt lakini hakuna short yyt iliyoleta uharibifu unaoonekana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hyo Taa ya Kijani haiwaki?? Na vipi ukiichomeka kwenye umeme unasikia sauti za Relay Switch zikifunga na kufungua??
Hy manually bypass unafanyaje mr??Ups yako ni ya ukubwa gani in Kva?
Umejaribu manually by pass?
Ikiwa hata ukiiweka kwenye by pass bado tatizo lipo pale pale inabidi utafute ups technician kwaajili ya uangalizi zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivyo vitu navijua vizuri, kama ilikua haina hitilafu but ikaachwa mda mrefu bila kutumika, ujue betri yake imekufa na nikwambie ups unapo connect kwenye umeme yenyewe kabla ya kuwasha taa yoyote cha kwanza ina sense/detect kama betri ipo na ni nzima? Ndipo inaruhusu umeme uanze mzunguko wake....
Donnie Charlie
Nini ufumbuzi wa ups iliyo kaa muda mrefu bila kutumika ikawa haiwaki kabisa ikiunga kwa umeme?
...
Unatakiwa ukiacha mda mrefu uchomoe battery, cha kufanya badili battery lkn kabla hujawasha futa hakikisha main board ipo safi haina vumbi...
Donnie Charlie
Nini ufumbuzi wa ups iliyo kaa muda mrefu bila kutumika ikawa haiwaki kabisa ikiunga kwa umeme?
...
...
Donnie Charlie
Nini ufumbuzi wa ups iliyo kaa muda mrefu bila kutumika ikawa haiwaki kabisa ikiunga kwa umeme?
...