P chatila
JF-Expert Member
- Oct 1, 2015
- 375
- 283
Habarini za majukumu, naombeni msaada kwa yeyote mwenye ulewa kwenye hili tatizo. Nina UPS ya APC smart ups ambayo hata nikiiwasha haitaki kuwaka na hata nikisema niiconnect kwenye power bado haionyeshi ishara yoyote kwamba inapokea umeme. Tafadhali naomba msaada kwa yeyote mwenye uelewa wa hivi vitu.
AHSANTENI
Sent using Jamii Forums mobile app
AHSANTENI
Sent using Jamii Forums mobile app