Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,846
Hata ukiweka DO NOT DISTURB tag haisaidii sana manake hizo movemnts na commotions zinazoendelea along the hall way ni kero tupu na utaamka tu.
Nimelala sana 4 and 5 star hotels nyingi kila kona ya dunia hii na bado ni kero tu unless upate suite. South America katika nchi kama za Costa Rica, Panama au Colombia angalau cleaners wanaanza kuja late around noon. Ila US ni worse, sababu 7 am utawasikia kwenye hall way
....unajua kwanini? kila Room attendants anakuwa allocated idadi maalum ya vyumba kusafisha kwa siku kabla ya muda wake wa kazi kwisha, say 2pm au 3pm...
....na vyumba check-outs ni 12pm, check-in ni kuanzia 2pm. Bila kugonga gong, makelele ya hoover kwenye corridors, na hata maongezi yao...utakuwa huamki "On-time!" wafanye kazi zao.