Apartments threaten hotels in Dar, Nairobi

Nishawai kaa hapo, jamaa wana charge $50 a day, wazawa, wana gym, just a throw stone away from the beach. Fantastic, swala la usafiri ni makubaliano, wanaweza kukupa, msosi na nani nini eleweana nao amabo ni nje ya kukodisha ivyo vyumba, ni jamaa wa kinyamwezi aliekaa sana derby miaka kadhaa, najua kuhudumia wateja...lazima uweke deposit ya wiki au zaidi...
Sio siri napa recommend apa kwa watu wengine...
 
wapi mkuu? panaitwaje, sehem gani, bei?
 
Pia wanaotaka wanaweza wasiliana na hawa jamaa

home

Wanazo apartments Kawe Beach, 1st class...

Nishawai kaa hapo, jamaa wana charge $50 a day, wazawa, wana gym, just a throw stone away from the beach. Fantastic, swala la usafiri ni makubaliano, wanaweza kukupa, msosi na nani nini eleweana nao amabo ni nje ya kukodisha ivyo vyumba, ni jamaa wa kinyamwezi aliekaa sana derby miaka kadhaa, najua kuhudumia wateja...lazima uweke deposit ya wiki au zaidi...
Sio siri napa recommend apa kwa watu wengine...

Jamaa namba zao ni 0713280020 au 0773280030
Mzee Mahindi, Mtu mzima sana huyu bwana..ukimkosa wasiliana na jamaa yake deo 0715833402..

Powa kabisaa mkuu na tunashukuru sana kwa msaada wako nadhani umewasaidia wengine pia ambao walikuwa hawapajui
 
ni kweli. mf. Hapa kwangu studio ni USD 550 Studio inakuwa na bedroom seating room, toilet na kitchen. KWA MWEZI KAMA UNAKAA MUDA MREFU NA usd 600 KWA MWEZI KAMA UNAKAA KWA CHINI YA MIEZI MITATU. halafu rooms za family ambazo zinakuwa na seating room, dinning, public toilet, kitchen, store, kisha juu yake kuna rooms 3.. moja kubwa yenye jacuz kisha hizi mbili zinakuwa na standard Toilet, full AC na connected na DSTV hizo nafanya USD 1'600 kwa mwezi kwa anaekaa muda mfupi na USD 1'500 kwa mwezi kwa anaekaa muda mrefu.

hapo unaweza ukajipima ukae hotelini au hapa.. ni fenced
 
Back
Top Bottom