Apartments threaten hotels in Dar, Nairobi

Hata ukiweka DO NOT DISTURB tag haisaidii sana manake hizo movemnts na commotions zinazoendelea along the hall way ni kero tupu na utaamka tu.
Nimelala sana 4 and 5 star hotels nyingi kila kona ya dunia hii na bado ni kero tu unless upate suite. South America katika nchi kama za Costa Rica, Panama au Colombia angalau cleaners wanaanza kuja late around noon. Ila US ni worse, sababu 7 am utawasikia kwenye hall way

....unajua kwanini? kila Room attendants anakuwa allocated idadi maalum ya vyumba kusafisha kwa siku kabla ya muda wake wa kazi kwisha, say 2pm au 3pm...

....na vyumba check-outs ni 12pm, check-in ni kuanzia 2pm. Bila kugonga gong, makelele ya hoover kwenye corridors, na hata maongezi yao...utakuwa huamki "On-time!" wafanye kazi zao.
 
Hoover ndio nini mkuu? Umeniacha.
 
Hoover ndio nini mkuu? Umeniacha.

.....hiyo hapo bro....

ImageUploadedByJamiiForums1391809878.407742.jpg
 
Kumbe unamaanisha vacuum cleaner. Hiyo sio Hoover bali ni vacuum cleaner.

....hahahha....you are so #Americanised banaa...

Urban Dictionary; "Hoovering. 1. v. To vacuum a floor or rug!"
You might be right, mimi natumia kiinglish cha Londonistani.
Vile vile, kuna Noun na Verb hapo banaaa, ....tena kiubishi ubishi sijajitetea na Brand ya hiyo Vac Cleaner....:)
 
....hahahha....you are so #Americanised banaa...

Urban Dictionary; "Hoovering. 1. v. To vacuum a floor or rug!"
You might be right, mimi natumia kiinglish cha Londonistani.
Hiyo ni vacuum cleaner, mkuu.
Ukiongelea brands ndio ziko kedekede mfano Dirty Devil, Panasonic, Bissel, Shark, Oreck, Samsung, Hoover, Eureka etc.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
So mkuu Mbu kwa bongo wewe apartments zipi unapendelea hasa kufikia???
 
Last edited by a moderator:
Nina wasiwasi na hapo kwenye Blue, unazungumzia hoteli za nyota ngapi? Kumbuka kuna TAG inaitwa DND yaani DO NOT DISTURB hiyo tag ukiweka mlangoni kwa hoteli ya hadhi ya nyota tano huwezi kusumbuliwa mpaka pale yatakapopita masaa nane kuanzia asubuhi ndipo atakapopigiwa simu kuulizwa kama anahitaji huduma ya kusafishiwa chumba au la na si kugongewa tu kiholela.
Nadhani apartment zitakuwa ni tishio kwa hoteli za hadhi ya nyota 2 na 3 lakini si kwa hadhi ya nyota 4 na 5.

Tatizo kwa Tanzania kila huduma nzuri muhimu ni kwa wenye pesa kubwa tu, hakuna za viwango tofautitofauti.

Kunahitajika wazawa kuwa na motels ambazo ni za kiwango cha kati hizo husaidia wale wanaokwenda na bajeti zao wakibana matumizi kwa shughuli nyingine za ujenzi na uwekezaji.

Nilisafiri mara kadhaa nchi kadhaa, lakini nilivutiwa na motels za Marekani za kiwango cha kati ambazo kuna huduma muhimu na kitchenette ambapo kwa wiki dau linaanza $250 - $600. Kwangu mie hizi huwa zinanifaa sana maana dau kwa mwezi hupungua zaidi ukajikuta unalipa sawa na anayeishi kwenye nyumba ya kupanga au apartments.

Huduma zao si kama hotelini, unaishi kama home, wanabadili shuka three times a week, na usafi wanaheshimu huja kila siku, unawaambia muda gani utawaruhusu kuingia.

Tatizo Tanzania kila huduma aina hiyo ni kwa wenye mifuko mikubwa tu, wengine wa kawaida hawafikiriwi.

Nimetembelewa na marafiki kadhaa toka Marekani na Ulaya huulizia motels za aina hiyo nimeshindwa kuzipata na hawapendi hizo ghali maana wazungu ni wazuri mno kwa kupanga bajeti na kubana matumizi, sisi watanzania full kuonyeshana kwamba ninazo.

Kama mwenye kujua za kiwango cha kati ambazo zinawafaa wanaobana matumizi nitashukuru maana kutembea nako ukishazoeleka twaombwa kuwatafutia maeneo nafuu ya kufikia hawa wanaopanga matumizi yao kwa werevu.

CC;
BAK
 
Asante sana mkuu
 
.......kaka, Kariakoo hujatembelea miaka ya karibuni ee?!

Forget the name, maana watu ukieatajia kariakoo wanapata mawazo ya miaka ile ya "kiboko-msheli!"

Pitia huku barabara ya Lumumba au Uhuru uangalie wazawa walivyowekeza mahoteli mazuri lakini bei za wastani.
 
Huduma ya apartment ni rahisi kulinganisha na hizo hotel za kitalii ,hata miminikiendasafari zinazochukua siku nyingi kuanza kabla sijaondoka huanza kutafuta apartment ambazowengine hukodisha kuanzia wiki,wiki 2 na kuendelea,mwisho utakuta nimeokoa kiasi kikubwa cha gharama,najilia vyakula vyangu vya bei rahisi ni kama nipo home tu.Na kwa Ulaya/Asia apartments zina unafuu tofauti na huko kwetu Bongo ambapo kwanza kupata apartment wanayopangisha kuanzia wiki ni taabu,hata za mwezi nazo kupata ni tabu,hapa bongo apartment zinapangishwa kwa mwaka na ulipe kodi yote ya mwaka,na hapo ndo unaona aheri uishi tu hotelini,bongo baado tuna safari ndefu katika hii huduma ya hospitality
 
Naifahamu sana Kariakoo na magorofa yaliyoota kama uyoga na sasa karibu na ofisi za Wilaya ya Ilala (manispaa) kando ya bandari karibu na St Joseph limeota ghorafa la kufa mtu hakuna jiji zima. Kwangu naona ovyo kabisa na kama linaleta kivuli tu, maana jengo kama lile linatakiwa kujenga open area na kuwe na nafasi yakutosha kati yake na majengo mengine.

Ninachoongelea ni motels ambazo hakuna Tanzania kama alivyoongea mdau
mfianchi kama ilivyo nchi za Asia, Ulaya na Marekani.

Motel ni zile ambazo mtu unalipia gharama za wiki au mwezi kwa punguzo tofauti na hotel ambako wanahesabu malipo kwa single day. Pamoja na kwamba hawabadilishi matandiko kila siku, pengine three times a week hii ndio sababu ya punguzo ya gharama za uendeshaji. Hilo ndilo tunaloongelea.

Si lazima ziwe za ukubwa wa apartments, nyingi za motels huwa ni za kiwango cha ukubwa wa vyumba vya hotel single room with kitchenette, hizo hatuna Tanzania.

Unachosema kuhusu Kariakoo unfurnished apartments ambazo rent yake ni ya masafa marefu kuanzia miezi sita. Tunachotaka sisi zile zinazoleta unafuu kwa wazawa walioko nje wanapokuja home kujenga au kuwekeza kwa muda mfupi kama miezi miwili au mitatu wawe na unafuu wa gharama za kuishia na kupata nafuu kutunza cha kuendelezea miradi.
 
Pia wanaotaka wanaweza wasiliana na hawa jamaa

home

Wanazo apartments Kawe Beach, 1st class...

Mkuu umeshawahi kukaa kwenye apartments za hawa jamaa na je ghrama zao zipoje na huduma zao zipo vipi wenyewe?weka data kamili tafadhali
 
Huduma ya apartment ni rahisi kulinganisha na hizo hotel za kitalii ,hata miminikiendasafari zinazochukua siku nyingi kuanza kabla sijaondoka huanza kutafuta apartment ambazowengine hukodisha kuanzia wiki,wiki 2 na kuendelea,mwisho utakuta nimeokoa kiasi kikubwa cha gharama,najilia vyakula vyangu vya bei rahisi ni kama nipo home tu.Na kwa Ulaya/Asia apartments zina unafuu tofauti na huko kwetu Bongo ambapo kwanza kupata apartment wanayopangisha kuanzia wiki ni taabu,hata za mwezi nazo kupata ni tabu,hapa bongo apartment zinapangishwa kwa mwaka na ulipe kodi yote ya mwaka,na hapo ndo unaona aheri uishi tu hotelini,bongo baado tuna safari ndefu katika hii huduma ya hospitality

Mkuu wangu ulaya apartment za kutupa na bei rahisi sana, sasa wengine tunaokuja kwa mda fulani kuweka mambo sawa na kuondoka inakuwa ngumu sana aiseee, wengine tunapenda kufika sehemu na ku relax, sasa mtu unakaa kwa mwezi au miezi miwili alafu wanasema upangishe kwa mwaka mzima hai make sense inabidi wabadilike kwa kweli...
 
Naifahamu sana Kariakoo na magorofa yaliyoota kama uyoga na sasa karibu na ofisi za Wilaya ya Ilala (manispaa) kando ya bandari karibu na St Joseph limeota ghorafa la kufa mtu hakuna jiji zima. Kwangu naona ovyo kabisa na kama linaleta kivuli tu, maana jengo kama lile linatakiwa kujenga open area na kuwe na nafasi yakutosha kati yake na majengo mengine.

Ninachoongelea ni motels ambazo hakuna Tanzania kama alivyoongea mdau
mfianchi kama ilivyo nchi za Asia, Ulaya na Marekani.

Motel ni zile ambazo mtu unalipia gharama za wiki au mwezi kwa punguzo tofauti na hotel ambako wanahesabu malipo kwa single day. Pamoja na kwamba hawabadilishi matandiko kila siku, pengine three times a week hii ndio sababu ya punguzo ya gharama za uendeshaji. Hilo ndilo tunaloongelea.

Si lazima ziwe za ukubwa wa apartments, nyingi za motels huwa ni za kiwango cha ukubwa wa vyumba vya hotel single room with kitchenette, hizo hatuna Tanzania.

Unachosema kuhusu Kariakoo unfurnished apartments ambazo rent yake ni ya masafa marefu kuanzia miezi sita.
Tunachotaka sisi zile zinazoleta unafuu kwa wazawa walioko nje wanapokuja home kujenga au kuwekeza kwa muda mfupi kama miezi miwili au mitatu wawe na unafuu wa gharama za kuishia na kupata nafuu kutunza cha kuendelezea miradi.

Nadhani hapa kweny red bado mpaka sasa hatujapata solution, ina maana nchi kama Tanzania na Dar es saalam hivi vitu havipo zaidi ya Lamada??wakuu inabidi tuambiane najuwa JF hamna kinachoharibika hapa......Mambo ya kufikia hotel na gharama za kila siku hazina mpango
 
Back
Top Bottom