bizzle for shizzle
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 1,013
- 743
Dah kwenye uwekezaji inabidi kutumia akili sana,Turudi Darasani:
1 month = 2,400,000
1 year = 28,800,000
1.5 Billion ukiigawa kwa 28,800,000 kila mwaka ni miaka: 52 (ndio pesa yako itarudi)
Hiyo pesa si bora ununue BITCOIN ๐
Turudi Darasani:
1 month = 2,400,000
1 year = 28,800,000
1.5 Billion ukiigawa kwa 28,800,000 kila mwaka ni miaka: 52 (ndio pesa yako itarudi)
Hiyo pesa si bora ununue BITCOIN ๐
Ndio ujinga wao madalali overpricing za ajabu ajabuHapo dalali amekosa sana M600.
Sawa, je wakati thamani ya kodi inapanda hilo jengo litabaki hivyo hivyo? Je lina uwezo wa kukaa miaka 52 ? Gharama mbali mbali na matengenezo ? Ndio kwanza hiyo miaka inaweza ikaongezeka badala ya kupungua!Hahah thamani ya kodi inaweza kupanda hivyo punguza punguza kidogo hiyo miaka 52 watu wasikate tamaa...
Kwa haraka haraka uwekezaji wa nyumba mara nyingi faida ni baada ya miaka 10Turudi Darasani:
1 month = 2,400,000
1 year = 28,800,000
1.5 Billion ukiigawa kwa 28,800,000 kila mwaka ni miaka: 52 (ndio pesa yako itarudi)
Hiyo pesa si bora ununue BITCOIN ๐
Hapo dalali kajitengea pesa ndefu , zaidi ya 600m, ndio taabu huanzia hapoSawa, je wakati thamani ya kodi inapanda hilo jengo litabaki hivyo hivyo? Je lina uwezo wa kukaa miaka 52 ? Gharama mbali mbali na matengenezo ? Ndio kwanza hiyo miaka inaweza ikaongezeka badala ya kupungua!
Ndio ujinga wao madalali overpricing za ajabu ajabu