Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,455
- 6,465
Apa lazima kichapo kikali kimtembeleee
Paka wanakula vifaranga. WauwaweHakuna haja ya kumpiga paka kwa sababu ya matunda
😂😂😂Kwanini paka unazozifuga huwa hazina utaratibu wa kuomba ili zipewe ngoja siku zile makaango yako
Anakula papaya 😂😂😂
Apa ni nini! Neno ni HapaApa lazima kichapo kikali kimtembeleeeView attachment 3091576
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Umetisha mnoSasa paka afanyeje hata kama ingekuwa ni wewe uo uvumilivu wa kuendelea kukosa choo wiki na papai lipo ungeweza?
😂 papai ni kiboko ya kukosa choo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Umetisha mno
Kuogopa mafyaUwiii! Mi ndio maana nikishaona papai bichi bichi tu nashusha litaivia ndani. 😀
Hapo unamaanisha mafua Mkuu. 😂Kuogopa mafya
Hii chai Sasa 😂😂😂😂Bora huyo kuliko mbwa koko anakula had bubblegum anabweka huku anatafuna WHOO UM UM
Kabisa😂😂😂Paka anakula papal?Hamna kitu hapo.Afukuzwe.Afisa usalama wa nyumba hawezi kuachwa ale mapapai na maboga.
Sina maaana iyo 😂😂😂😂mkuuHapo unamaanisha mafua Mkuu. 😂