Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,902
- 95,407
- Thread starter
- #101
Wanavyotumia hizo dawa za asili na kupona unajuaje kuwa ni hizo dawa zimewaponyesha na wala siyo sababu nyingine?Yaani kwa mfano mtu anapotumia ile dawa ya NIMR kujitibia Corona na akapona,utajuaje kuwa ni hiyo dawa imemtibu na wala siyo sababu nyingine kama vile mazoezi anayofanya,labda ni kinga yake ya mwili ambayo tayari ilikuwa imeshapanga kumponya,e.t.c?Mimi nasema hazijafanyiwa tafiti za kisayansi ila kuhusu kutibu watu wanatumia tangu na tangu na wanapona.