Aolewe au aendelee kuwa single at 40?

Anayeoa haoi dini. Kama dini ikiwa kikwazo iache karibu kuwa RAIA WA SERIKALI TUKUFU YA UFALME WA MUNGU. Hapo hapana ugomvi, wote watakaokuwa wamekwazwa na maamuzi yako, watakuwa hadhira yako kwa kushuhudia mabadiliko, hadi mwishoni watakukubali na kukusifu.
 
Wakati mwingine wanaoukimbia wajibu, wana uwalakini. Akapimwe vipimo vya Daktari vyaweza kuumaliza mjadala kuwa huyo kuwa hivyo ndiyo nafuu yake.
 
Abaki tuu single maana hamna namna
 
Una ramli ya kujua penzi la kweli na la kinafiki?
Ahaa basi wape moyo....frankly speeking that is a totally blind love trust me hakunaga mapenzi ya kukutana uzeeni...The sparks of love always live in the youngest blood ...niliwahi soma vitabu vya wanasayansi flani wa wa genetics ...ngoja nirudi library nikipata citation ya kitabu nitakutumia usearch kwenye net watu wamefanya research
 
sio kweli kuwa anapata wa dini tofauti tu
itakuwa ameweka vigezo vinavyofikiwa na hao wa dini tofauti na hata wewe ulikuwa hivyo bila shaka

sasa kama yuko sirias kweli kwenye suala hilo mlete kwangu Mimi nimuoe fasta bila kuchelewa
 
Na kama hukupata bahati ya kukutana na mtu ujanani au ulifiwa?
Sasa hapo ukubali litakalokuja mbele...yaani sio rahisi sana penzi la kizee lishamiri kama la vijana...ni company ya kusindikizana kaburini
 
Hii ni kuruhusu watu wengine wakufanyie maamuzi hata kama ni familia wakati mwisho wake everything kinakuwa mkononi mwako na mzigo wako wala sio familia tena. Mwambie aolewe, 40 yrs old is not too late she can still make a family and live her dreams.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…