Nashengena
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 3,140
- 5,734
maamuz ya ndoa mm hakuna atakae kuja kuniingilia so bad hata kama ni mzazi wangu ntakapokuja kuamua hapo ntakua nshaamuaHabari za mchana wakuu
Kuna rafiki yangu ambaye hana bahati ya kupendwa na mtu wa dini yake . Wakati anasoma chuo alibahatika kupendana na kijana mmoja ambaye alikuwa tayari kufunga ndoa na huyo binti watakapo hitimu masomo na kupata kazi.
Vijana wale walimaliza masomo yao vizuri na kila mmoja alibahatika kupata kazi hapa Dar. Katika harakati za maandalizi ya kufunga ndoa yule kijana alienda kujitambulisha nyumbani kwa yule msichana lakini familiaya mwanamke alikataa na kuwa mtoto wao hawezi kuolewa na mwanaume wa dini tofauti. Kwa sababu hiyo yule ikabidi waachane kwa huzuni na majonzi makubwa.
Baada ya miaka kadhaa yule kijana alimpata wa dini yake wakafunga ndoa. Kimbembe kikawa kwa binti. Kila mwanaume anayetaka kumuoa anakuwani dini tofauti na yake. Sasa hivi ana umri wa miaka 40 hana mtoto, rafiki wa kiume wala mchumba. Amekuwa akijiuliza kwa nini imekuwa hivyo na kujilaumu kuzaliwa mwanamke sababu angekuwa mwanaume anaamini angekuwa na familia kwani wanaume wao wanatafutwa. Familia yake inamshauri atafute mwanaume ili azae naye apate hata mtoto. Anajiuliza kwa nini familia inakubali mimi niwe mzinifu lakini hawakubali mimi niwe na ndoa inayotambulika?
Hivi karibuni rafiki yake wa toka mwaka 2005 ambaye anaishi marekani amemuomba awe mchumba wake ''taking friendship to the next level'' lakini huyo dada amekataa sababu ya dini. Ameamua kubaki single sababu hana jinsi. Amekuwa mtu wa huzuni muda mwingi kwani ndoto zake za kuwa na familia kama zinayoyoma.
Jamani huyo dada yuko njia panda hajui la kufanya. Mimi nimemuambia afanye maamuzi magumu kama niliyofanya mimi. Kwani nililkuwa napata wachumba wa kikirsto mwanzo mwisho hatimaye nikakata shauri kuwa naolewa na wa dini tofauti. Familia ilinitenga mpaka baba yangu akasema hataki kuniona. Baada yamiaka kadhaa ya ndoa yetu eti sasa ananiona kama mimi ndio mtoto wake mwenye akili kwani nimekuwa msaada mkubwa kwa familia.
Haya mambo huwa nimagumu sana lakini mkisimama imara mnaweza kufanikiwa. nina mifano mingi ambayo wazazi wanakuwa wagumu lakini baadae wanalainika.
Karibuni wanajamvi kwa ushauri, na wale ambao wamepitia haya mnaobwa kutoa uzoefu wenu hapa
Shukrani
Sikia we kijana, unajua kila jambo lina makusidio yake na siamini kabisa kwamba anakosa watu wa dini yake ila inawezekana anatabia ya kuchagua chagua na vigezo alivojiwekea ndio tatizo kwake, mimi namshauri kitu kimoja amuombe mungu kw zati ya dini yake na km itashindikana kw muda furani basi toa tena taarifa tuangalie nini cha kumsaidia ila naamini km ataomba kwa zati, lazima atapata yule wa maisha yakeHabari za mchana wakuu
Kuna rafiki yangu ambaye hana bahati ya kupendwa na mtu wa dini yake . Wakati anasoma chuo alibahatika kupendana na kijana mmoja ambaye alikuwa tayari kufunga ndoa na huyo binti watakapo hitimu masomo na kupata kazi.
Vijana wale walimaliza masomo yao vizuri na kila mmoja alibahatika kupata kazi hapa Dar. Katika harakati za maandalizi ya kufunga ndoa yule kijana alienda kujitambulisha nyumbani kwa yule msichana lakini familiaya mwanamke alikataa na kuwa mtoto wao hawezi kuolewa na mwanaume wa dini tofauti. Kwa sababu hiyo yule ikabidi waachane kwa huzuni na majonzi makubwa.
Baada ya miaka kadhaa yule kijana alimpata wa dini yake wakafunga ndoa. Kimbembe kikawa kwa binti. Kila mwanaume anayetaka kumuoa anakuwani dini tofauti na yake. Sasa hivi ana umri wa miaka 40 hana mtoto, rafiki wa kiume wala mchumba. Amekuwa akijiuliza kwa nini imekuwa hivyo na kujilaumu kuzaliwa mwanamke sababu angekuwa mwanaume anaamini angekuwa na familia kwani wanaume wao wanatafutwa. Familia yake inamshauri atafute mwanaume ili azae naye apate hata mtoto. Anajiuliza kwa nini familia inakubali mimi niwe mzinifu lakini hawakubali mimi niwe na ndoa inayotambulika?
Hivi karibuni rafiki yake wa toka mwaka 2005 ambaye anaishi marekani amemuomba awe mchumba wake ''taking friendship to the next level'' lakini huyo dada amekataa sababu ya dini. Ameamua kubaki single sababu hana jinsi. Amekuwa mtu wa huzuni muda mwingi kwani ndoto zake za kuwa na familia kama zinayoyoma.
Jamani huyo dada yuko njia panda hajui la kufanya. Mimi nimemuambia afanye maamuzi magumu kama niliyofanya mimi. Kwani nililkuwa napata wachumba wa kikirsto mwanzo mwisho hatimaye nikakata shauri kuwa naolewa na wa dini tofauti. Familia ilinitenga mpaka baba yangu akasema hataki kuniona. Baada yamiaka kadhaa ya ndoa yetu eti sasa ananiona kama mimi ndio mtoto wake mwenye akili kwani nimekuwa msaada mkubwa kwa familia.
Haya mambo huwa nimagumu sana lakini mkisimama imara mnaweza kufanikiwa. nina mifano mingi ambayo wazazi wanakuwa wagumu lakini baadae wanalainika.
Karibuni wanajamvi kwa ushauri, na wale ambao wamepitia haya mnaobwa kutoa uzoefu wenu hapa
Shukrani
Ndio nimemuambia hivyo, mimi familia yangu aliniambia kwani ni lazima uolewe si unaweza kuzaa tu mtoto wako. Nikawakatalia na kuwaambia kwa hiyo ushauri wenu ni bora kuliko mimi kuolewa. At the end of the day hakuna anayeweza kuingilia ndoa yenu. Wazazi waache kuwachangulia watoto wao nani wa kuolewa nao. Watoto wa kike wana wakati mgumu sana linapokuja suala lakuolewa kwani kwa desturi zetu kijana ndio anamfuata msichana kwa ajili ya mahusiano. Kuna wasichana wengi sana maisha yao yanaharibika kwa sababu hiyo tu. Wanaishia kuzaa na wanaume tofauti tofautiMwambie rafiki yako afanye maamuzi magumu ili aishi kwa furaha. Furaha yake ni ndoa afate ulichokifanya wewe,hata ndugu wakimtenga at least atakua na mtu wa kuwa upande wake.
Kwa hiyo asubiri mpaka lini? Huyo mwanamke hajawahi kupata wa dini yake. Na huwezi kuolewa tu na mtu yeyote eti kwa sababu ni dini moja. Je watu wa dini moja huwa hawaachani? What matter ni mtu ambaye utampenda etc.Sikia we kijana, unajua kila jambo lina makusidio yake na siamini kabisa kwamba anakosa watu wa dini yake ila inawezekana anatabia ya kuchagua chagua na vigezo alivojiwekea ndio tatizo kwake, mimi namshauri kitu kimoja amuombe mungu kw zati ya dini yake na km itashindikana kw muda furani basi toa tena taarifa tuangalie nini cha kumsaidia ila naamini km ataomba kwa zati, lazima atapata yule wa maisha yake
Yaani miaka 60 unasubiria ndoa? na life expectancy ya Mtanzania? kwa hiyo asizae au?Kuna mama alitoa ushuhuda alipata mume akiwa na miaka 60, miaka yote hakuwa anaijua ndoa.
Mala nyingi huwa sipendi sana kuzungumzia kuhusu dini, na hao wazazi wake wanamantiki kubwa sana kw mungu ila tatizo ni hapo wanapokubali azae tu nje ya ndoa, mimi bado namshauri kitu kimoja, mungu hamnyimi mja wake kitu chochote hata km miaka mingapi maadamu ipo, naamini km mungu amepanga apate mume basi atapata lkn ukimshamri afanye maamuzi magumu kumbuka kuna leo na keshoKwa hiyo asubiri mpaka lini? Huyo mwanamke hajawahi kupata wa dini yake. Na huwezi kuolewa tu na mtu yeyote eti kwa sababu ni dini moja. Je watu wa dini moja huwa hawaachani? What matter ni mtu ambaye utampenda etc.
Time is only up when you are dead and buried.Time is up ,she has to make her mind.
Hiyo ni business doneTime is only up when you are dead and buried.