Anza kumchuna

Simeon

Member
Nov 29, 2010
61
19
Kuna jamaa wawili,walikwenda kuwinda,mmoja alikuwa mtaalamu wa kulenga mwingine wa kuchuna,mtaalam wa kuchuna alibaki garini na mwenzake akashuka kuwinda,anakatiza kichakani mara simba huyoooo!ikabidi jamaa aanze kukimbia vibaya mno huku akipiga kelele fungu fungua......,mwenzake akafungua mlango wa gari,jamaa anakaribia mlangoni huku simba akiwa nyuma,simba akarmrukia,bahati mbaya jamaa akaanguka chini,simba akajikuta ndani ya gari,jamaa akaamka fasta akafunga mlango na kumwambia mwenzake,''ANZA KUMCHUNA NAKWENDA KULETA MWINGINE''
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom