Anywa sumu kwa ajili ya mapenzi!!!!!!

Anywa sumu kwa ajili ya mapenzi!!!!!!

Hahahahaha jaman unadhani paroko au shekhe hawazin??
Mfano.mashekhe wanapo kuwa bar wananunua soda na viloba anachanga kwa kujificha asijulikane
Akimaliza anakunywa adharan ajulikane anakunywa soda kumbe kachakachua soda na kuchanganyamo kireo.hahahaha
Ts a world now have changed alot
 
Na wana wote wa kondoo wafuate mahubiri yanayohubiriwa, na wasithubutu kufuata yale wafanyayo wenye wito. Halleluyah!.

halleluyah!!! jina la bwana lipewe sifa maana lashinda majina yote including fake IDs. anaebisha mjeuri. halleluya.
 
Selfish....

Yaani kajiondoa kwa kukimbia tatizo ili amkomoe ambae hampendi/hamjali na kuwaachia shida na majonzi na wanaomuhitaji ?

Hii equation haipo balance huyu jamaa angefikiria outcomes nadhani sasa angekuwa hai anasonga mbele na maisha
 
Back
Top Bottom