Wanawake watafanya kila kitu ili kupunguza uzito from kushinda njaa siku nzima, kujibana na waist trainers, to taking fat burners (madawa) nk ila hawapo tayari kula vizuri na kufanya mazoezi.
Kadhalika wanaume nao wanafanya kila kitu kuongeza nguvu za kiume sijui vumbi la Congo, mchuzi wa pweza, konyagi+redbull nk ila hawapo tayari kula vizuri na kufanya mazoezi.
Nitoe rai watu mzingatie diet na kufanya mazoezi kwani ni mujaribu wa matatizo mengi ya kiafya badala ya kuingia gharama zisizo na msingi na kufanya mambo ambayo side effects zake zinaweza kuwa costly kuliko diet and exercises.
Tuanze mazoezi na kula vizuri, mambo ya kushinda njaa na mimi kutumia mchuzi wa pweza tuyaache [emoji85][emoji87]
Chalii unashindia mchuzi wa pweza na urojo[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]. Na kahawa na kashata.Tuanze mazoezi na kula vizuri, mambo ya kushinda njaa na mimi kutumia mchuzi wa pweza tuyaache [emoji85][emoji87]
Aibu nimeona mimi [emoji86][emoji87][emoji85]Chalii unashindia mchuzi wa pweza na urojo[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]. Na kahawa na kashata.
Acha hiyo tabia. Na mimi huu mkitambi nitajitahidi kula vizuri na kufanya mazoezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]Aibu nimeona mimi [emoji86][emoji87][emoji85]
Ndio upunguze kitambi hicho sio unasema tu [emoji38]Ushauri mzuri san
Kimebaki kidogoo unafikir kula mboga mboga mchezoNdio upunguze kitambi hicho sio unasema tu [emoji38]
Utaeza tu unakula tu hiviiDiet ngumu,mazoezi ndio usiseme
Naombea nisifike hatua ya kuanza diet wala mazoezi