Wpendwa naona kuna watu wameanza kuandika rip
ulimboka kwenye websites yoyote anaejua kinachoendelea naona tumeanza kutishana tukiwa hai
naomba msaada wenu tafadhali
" ny newas about ulimboka jamani;tunaona r.i.p's zimeanza kwenye facebook pls tujulishane"
Usipoona R.I.P hapa JF basi ujue hizo za huko ni L.I.P!
Na Jitu kubwa zima kama William Malecela nalo nasikia liliandika kwenye wall yake ila sasa hivi ameidelete hiyo habari, nimemuacha na watoto wanamsuta huko Facebook.