Any guy here ever used Viagra?

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
Au dawa ya aina yoyote ya kuongeza nguvu za kiume au kuchelewa kufika kileleni?

Kuna spray inapulizwa kwenye kichwa ambayo inasababisha kuchelewa kufika kileleni nimewahi tumia na inasaidia

sana.....Je ww umetumia nini na umefaidikaje?? Tuelimishane

Bongo sasa hv zipo nyingi tu, almost kila duka la dawa muhimu na zinauzwa openly.
Mimi dukani kwangu nililazimika kuziweka baada ya wauliziaji kunisumbua kwa muda mrefu.
Ukienda pharmacy uliza ERECTO, au VEGA, kuna 50Mg na 100mg unajihukumu mwenyewe kutokana na pafomensi yako!
 
Mhh watu wazoefu!!!!! c mfanye mazoezi??mtasaidiwa na dawa mpaka lini???
 
Mhh watu wazoefu!!!!! c mfanye mazoezi??mtasaidiwa na dawa mpaka lini???
wadada wengine bwana!! usipowafikisha wanalalama 'bwana wangu goigoi', ukiwafikisha wanalalama 'bwana wangu anatumia dawa'. it's a lose-lose situation
 
Ila ukinywa underdose, ni aibu
Inakataa kufanya kazi wiki 2 mfululizo
Bora tu hizi za kutegemeshea nkamam maji ya kichem chem

Wee unasema tu

Singekuwa nguvu za kubeba vyuma, tungebeba hata nyumba

Lakini hizi za kitu kunyanyuka chenyewe si mchezo
Wee shukuru kama uko vizuri, yaani kuna wakati wife kidogo aniache kabisa

Mhh watu wazoefu!!!!! c mfanye mazoezi??mtasaidiwa na dawa mpaka lini???
 
Are you into ladies siku hizi??

wadada wengine bwana!! usipowafikisha wanalalama 'bwana wangu goigoi', ukiwafikisha wanalalama 'bwana wangu anatumia dawa'. it's a lose-lose situation
 
afu shem....unauliziwa huku......
 
wadada wengine bwana!! usipowafikisha wanalalama 'bwana wangu goigoi', ukiwafikisha wanalalama 'bwana wangu anatumia dawa'. it's a lose-lose situation
Mambo? Naona umekua gold member (pun intended)
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…