kALEnga kidamali
JF-Expert Member
- Nov 19, 2015
- 542
- 735
Naombeni kuwauliza wana jf hivi ule uandishi wa anuani ya mwandishi kwenye barua kuwa kama hivi
------------------------------
Kalenga kidamali,
S. L. P 42990,
Iringa (V),
13, may, 2017.
--------------------------------------
Sasa kwa kuwa wengi wetu tunatumia anuani za shule tulizosoma au watu wetu wa karibu . Mimi kwa kuwa ni miongoni mwa wanaotumia anuani ya shule nimepata wazo la kubadili huu utaratibu wa kuandika anuani ya shule au ya mtu wa karibu na huwa naandika hivi:-
-------------------------------------------
Kalenga kidamali,
Call: 0769811021,
E-mail:kidamali@gmail.com,
Iringa (v),
13,may, 2017.
-----------------------------------------
Binafsi nimeifanya hiyo ndio iwe anuani yangu badala kuweka sanduku la posta nisilokuwa na access ya moja kwa moja.
=================
Naombeni ushauri kama niko sahihi au huwa nakosea kuandika hivo kwani hata katika barua za job application huwa naandika hiyo ambayo mimi naona ndio anuani yangu halisia kwa sasa.
=====================
Nawasilisha