Anakula vitasa balaaM'bongo amezidi kuwa mfupi aisee
AZAM walisema wataonyesha km kuna mtu anajua channel atujuze
hiyo chanel 123 inaonyesha vizuri jmm au chenga tuChannel 123
vp wakuu hiyo fight sport haina chenga?Mbongo kapigwa KO
yanatia aibu sanaHawa DStv vilaza, hawaonyeshi huu mtanange kweli?
vp azam kuna muonekano mzuri?Ooh M' bongo ameokolewa na refa vinginevyo hali isingekuwa nzuri kwake
Iko vizurivp wakuu hiyo fight sport haina chenga?