Antony Joshua Vs Andy Ruiz 2, tukutane hapa kwa updates

Vibonge tunatamani Ruiz ashinde ili heshima ya mabonge mtaani iongezeke tumedharauliwa sana.
 
Hili pambano nafananisha na pambano ambalo lennox lewis alipigwa na underdog mmoja ivi tena round ya 3 na kipindi icho kumbuka lewis alikuwa kwny prime yake yani undisputed champion baada ya kuwa na mataji kadhaa....rematch hutskiwi ata kuuliza lennox alimfanya nini uyu jamaa....andy ruiz akitaka kushnda apigane for fun ie kwa kuenjoy amchukulie chukulie round adi 7 iv cz mda huo AJ atakuwa kachoka sana cz ataingia kwahasira na atataka amalze mapema....game naipa 50/50
Utakuwa unaongea kuhusu Hasim Rahman mwenye kovu la kudumu kwenye shavu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom