Antonio Nugaz amaliza Mkataba wa kazi Yanga, Wamshukuru na kumuaga

Sisi hatujamkashifu kwamba kasaliti ila Nugaz mkataba wake Umeisha na hatujaona haja ya kumuongezea ila ninyi makolo hata mkataba Manara wa kufanya kazi simba hajawahi kuwa nao

Ila hilo halinishangazi sana coz ni kawaida kwa wanao fanya kazi kwa wahindi huwa ni kwa mali kauli

Ni swala la muda tu mtani,amini nakwambia,Jangwani hali si shwari na swala la Manara kuja pale matokeo yake tayari yameshaanza kuonekana
 
Makolo yamejaa hapa kumalizia uchungu wao hapa.
Mmeambiwa mkataba umekwisha, mchukueni basi
 
Back
Top Bottom