Antibiotic Albam 2020 ya Don Nalimison yakamilika

Unajua sisi ndo wehu, Not Don Kama mzima kuliko sisi, coz anaishi kwenye dreams na vision kubwa Sana amesha take huge risks kwenye maisha yake.

Imagine huyu mtu amelaunch Hadi album, katengeneza Melody, kaenda studio, katoa nyimbo then katoa na album na anaipush sokoni mwenyewe.

Afu uje useme Don kipa katoka... Sisi ndio wehu Don Ni mzima kabisa. Tatizo ni sisi hatuwezi kucomprehend his level of understanding.

Nahisi nna hamu nisikie magoma yake.
 
Eti, kipa katoka..
 
Yaaani nilivyosikiliza Congratulation tu nilijikuta nacheka na kufurahi

Hii albamu ni kiboko ya matatizo yote inaondoa harara, chunusi, mba, vipele inaongeza siku za kuishi na matatizo ya nguvu za kiume inatibu
 
Unajua sisi ndo wehu, Not Don Kama mzima kuliko sisi, coz anaishi kwenye dreams na vision kubwa Sana amesha take huge risks kwenye maisha yake.

Imagine huyu mtu amelaunch Hadi album, katengeneza Melody, kaenda studio, katoa nyimbo then katoa na album na anaipush sokoni mwenyewe.

Afu uje useme Don kipa katoka... Sisi ndio wehu Don Ni mzima kabisa. Tatizo ni sisi hatuwezi kucomprehend his level of understanding.

Nahisi nna hamu nisikie magoma yake.
Kabisaaaaaah umemalizaaaaah
 
Back
Top Bottom