anti ezekiel ni mwanaume?

nikitumia taaluma yangu ya uchoraji ktk kutambua anatomy ni dhahiri hiyo picha ina feature zoote kama sio nyingi za kiume.
Angalia mabega. taya, muundo wa mapaja, angalia kiuno hasa makalio yalipoanzia yananipa tashwishwi kumfahamu zaidi huyu ezekieli.
Nikienda kwenye anatomy ya majina, tujiulize kwa nini atumie jina la EZEKIEL kama utambulisho badala ya jina lake?
nina maswali hapo. naomba aliyecheza naye utotoni ajitokeze atufafanulie hii tendawili.
kanumba-ezekiel[1].png
picha kwa hisani ya Dina Marrios
 
Mhhhh....! Your comments seems like you are very sure than how we think, may be you had got a special private occasion with this person...! May you prove this?



ni kweli wajitokeze tupate ukweli.
 
Back
Top Bottom