Anthony Mtaka, Mwanri wanafaa Dar

Anthony Mtaka, Mwanri wanafaa Dar

Jallen

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2012
Posts
517
Reaction score
196
Hawa wakuu wa Mikoa wawili Mh. Anthony Mtaka na Aggrey Mwanri wanafaa kupewa mkoa wa Dar.

Mh Mtaka anafaa sana. Namwona kama kijana mbunifu sana na mwenye busara katika utendaji wake.

Kwa upande wa Mwanri ni mfuatiliaji mzuri sana wa kazi ni mwajibikaji sana ila kanda anayotoka itamnyima mambo mengi.
 
Halafu hawa wawili nadhani wana vyeti vyao halisi vya elimu sio kama Bashite
 
Hawa wakuu wa Mikoa wawili Mh. Anthony Mtaka na Aggrey Mwanri wanafaa kupewa mkoa wa Dar.

Mh Mtaka anafaa sana. Namwona kama kijana mbunifu sana na mwenye busara katika utendaji wake.

Kwa upande wa Mwanri ni mfuatiliaji mzuri sana wa kazi ni mwajibikaji sana ila kanda anayotoka itamnyima mambo mengi.

Mteue umlete!
 
Mimi nashauri aliye kuwa mkuu wa mkoa wa Dar mzee Meck Sadiki, au aliye kuwa mkuu wa wilaya ya Ilala Mzee Mushi ambae sasa yuko Babati mmoja wao awe RC Dar. Hawa wana uzowefu wa kutosha na lile jiji.
Mwanri atapeleka yale masifa yake ya bungeni.
 
Huku Mwanza tunamtaka Makonda tu huko Dar mtajuana wenyewe.
 
Mimi nashauri aliye kuwa mkuu wa mkoa wa Dar mzee Meck Sadiki, au aliye kuwa mkuu wa wilaya ya Ilala Mzee Mushi ambae sasa yuko Babati mmoja wao awe RC Dar. Hawa wana uzowefu wa kutosha na lile jiji.
Mwanri atapeleka yale masifa yake ya bungeni.
Aise unaakili sana, sema sina hakika kama wanatokea kanda yetu.
 
Hawa wakuu wa Mikoa wawili Mh. Anthony Mtaka na Aggrey Mwanri wanafaa kupewa mkoa wa Dar.

Mh Mtaka anafaa sana. Namwona kama kijana mbunifu sana na mwenye busara katika utendaji wake.

Kwa upande wa Mwanri ni mfuatiliaji mzuri sana wa kazi ni mwajibikaji sana ila kanda anayotoka itamnyima mambo mengi.
Hahahaha cheka kwa dharaaaau!!

Mnavyotapatapa!!

Enyi nyumbu msio na akili ninani aliewarogaaa!
 
Mimi nashauri aliye kuwa mkuu wa mkoa wa Dar mzee Meck Sadiki, au aliye kuwa mkuu wa wilaya ya Ilala Mzee Mushi ambae sasa yuko Babati mmoja wao awe RC Dar. Hawa wana uzowefu wa kutosha na lile jiji.
Mwanri atapeleka yale masifa yake ya bungeni.
Unamshauri nani?
 
Back
Top Bottom