Anthony Lusekelo: Haijawahi kutokea dunia kwa nchi kununua ndege nane kwa mpigo

Boeing au Airbus hawafanyi biashara ya kulease ndege mkuu ni wauzaji,ila kuna makampuni yananunua na kulease yapo,Indonesia, Malaysia,China,Iran,lyanair,Quantas wameoda ndege ngapi hapo ndo utajua Lusekelo alivyomjinga,anafikiri watanzania wote sawa na waumini anaowadanganya kanisani kwake.
 
NaYeye kwakupenda sifa anapamba hadi anajihizirisha kuwa kunakitu anakitaka kutoka mamlaka iliopo asaidiwe anajikuta anasema uongo anajiita mtumishi wamungu unasema uong
 
Huyu kalewa konyagi ka nchi kama QATAR au UAE wananunua airbus380 sitini 60 kwa wakati mmoja sembuse hivi vi bajaji vyetu
 
Wavivu wa kusoma watampigia vigerere. Ndege 8 wakati kuna nchi zinaagiza hadi midege100?
 
Nimecheka kwa sauti
 
Maswali yao yanakuwa kana kwamba yanamuongoza anayeulizwa kuyajibu vizuri.Hatuna waandishi wa habari ambao ni critical questioners
Utamsikia Muandishi: "Hivi huoni kwamba Mheshimiwa baada kufanya yote haya kuna haja ya kuingezewa muda wa kutongoza ili tuweze kupiga hatua ya maendeleo?"
Hawa ndio waandishi wa TZ
 
Dubai, UAE, 14 February 2019 – Emirates airline today announced an order for 40 A330-900 aircraft, and 30 A350-900 aircraft, in a heads of agreement signed with Airbus. The deal is worth US$ 21.4 billion at list prices.

The latest generation Airbus A330neo and A350 aircraft, will be delivered to Emirates starting from 2021 and 2024 respectively.

In addition, Airbus and Emirates reached an agreement on outstanding A380 deliveries. The airline will receive 14 more A380s from 2019 until the end of 2021, taking its total A380 order book to 123 units.
 
K- Vant zina madhara makubwa sana napendekeza zipigwe marufuku.
 
Hiyo title ni uongo usiopimika.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…