Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,365
- 18,663
jana mlimsifia sana kwakua alisema sijui bunge limefanya nini huko,Stupid , atandike mama yake blodifaken jizi la hela za wajinga eti sadaka!
Upako hauchanganywi na pombe, alipouchanganya na pombe upako ukamlipukia usoni, kunawakati alimuomba sana Magufuli amteue kwa kisingizio alikuwa TYL kabla ya uhuru, Magufuli aliishia kumuwekea lami njia ya kwenda kanisani kwake, upako hana tena.Katika kipindi hiki cha vuguvugu la kisiasa nchini Tanzania, sakata la kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa Chadema waliokusanyika Mbeya Agosti 11, 2024, lilizua gumzo kubwa. Mchungaji Anthony Lusekelo, maarufu kama Mzee wa Upako, naye hakuachwa nyuma katika kutoa maoni yake kuhusu tukio hilo, nakuzungumza kwa ujasiri na kuonesha msimamo wake kwa wazi.
Mzee wa Upako, alieleza kuwa endapo angekuwa na mamlaka kama ya Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, Awadhi Haji, ambaye alihusika katika hatua ya kuwakamata na kuwapiga viongozi na wanachama wa Chadema waliokusanyika siku hiyo, angefanya sawa na Kamishna huyo.
"Kama mimi ningekuwa na jukumu la oparesheni maalum, ningefanya kama alivyofanya Awadhi Haji. Serikali ilishatoa agizo kuwa wasiende Mbeya, lakini bado wakaenda. Ningewakamata pia, ila nisingewafunga kwa muda mrefu. Badala yake, ningewatandika tu, lakini si sana"
View attachment 3087690
Chanzo: Jambo Tv
Akisema jambo la maana tunamsifia lakini akizungumza usengerema tunamlaanijana mlimsifia sana kwakua alisema sijui bunge limefanya nini huko,
makamanda kulikoni ghafla leo awe stupid?π€£
Sio bapa sema jibapa yaani lile bapa kubwaBapa hilo limepanda kichwani
Tungekupa kibali kuwapeleka wakaandamane Moshi!Katika kipindi hiki cha vuguvugu la kisiasa nchini Tanzania, sakata la kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa Chadema waliokusanyika Mbeya Agosti 11, 2024, lilizua gumzo kubwa. Mchungaji Anthony Lusekelo, maarufu kama Mzee wa Upako, naye hakuachwa nyuma katika kutoa maoni yake kuhusu tukio hilo, nakuzungumza kwa ujasiri na kuonesha msimamo wake kwa wazi.
Mzee wa Upako, alieleza kuwa endapo angekuwa na mamlaka kama ya Kamishna wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi, Awadhi Haji, ambaye alihusika katika hatua ya kuwakamata na kuwapiga viongozi na wanachama wa Chadema waliokusanyika siku hiyo, angefanya sawa na Kamishna huyo.
"Kama mimi ningekuwa na jukumu la oparesheni maalum, ningefanya kama alivyofanya Awadhi Haji. Serikali ilishatoa agizo kuwa wasiende Mbeya, lakini bado wakaenda. Ningewakamata pia, ila nisingewafunga kwa muda mrefu. Badala yake, ningewatandika tu, lakini si sana"
View attachment 3087690
Chanzo: Jambo Tv
I told you the mchungaji is not okay mentally avoid intartaining and celebrating his opinions and comments, you will cry later on,Akisema jambo la maana tunamsifia lakini akizungumza usengerema tunamlaani
Are you ok mentally?I told you the mchungaji is not okay mentally avoid intartaining and celebrating his opinions and comments, you will cry later on,
what is this then?π
Nlikutana naye siku moja kayatwika kwerikweri...mpaka kupanda bajaji ilikuwa mtihaniI told you the mchungaji is not okay mentally avoid intartaining and celebrating his opinions and comments, you will cry later on,
what is this then?π
I am visionary political leader teacher!Are you ok mentally?
salute to you commander, that's great ππͺI am a retired Army Officer.