Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

Screenshot_2017-04-06-14-38-45.png
 
Joshua hana pumzi.......mapambano yake yote hajawahi kufika raundi ya 6 anamaliza sababu anajijua matatizo yake ya kuchoka...raundi ya 7,8,9,10 alijitahidi kutafuta pumzi ya 11 ndio akamaliza
Kwahiyo hiyo round ya 11 alitumia kijambo!?
 
Muda wa Wladimir umeisha.....watu hawataki mabadiliko
Tyson alipopigwa mwaka 90 kwa mara ya kwanza kelelezilipigwa saanaaa....lakini ndo ukawa mwanzo mwisho wake...

People are hard to accept defeat..

AJ ata reign saanaaa... Its his tym.
 
Ni kweli AJ is currently undefeated, but has a lot to learn in this business, if Klitschko was brave enough to come out fully in the 5,6 &7th round he could won the fight. Don't tell me I don't know what happens in the ring while I have been watching the game for more than half my life time!! So shut up!!!!
You shut the hell up..... You ve just WATCHED the game... You do not know what happens inside the ring... So SHUT.
 
Deontay “the bronze bomber” wilder vs anthony joshua “AJ” ,nadhani hili pambano litakuwa ni gharika,binafsi nampa alama za ushindi deontay wilder
Tupe record yake.... Huyo jamaa anapigana kama street fighter.. Miguvu iko mkono wa kulia tu. Sijaona skills..
 
Sisi wabongo banah yule tyson tunayemwona alikuwa bonge la fighter anamuelewa AJ ww huku hata kwenye ring hujawahi ingia na wala hujasomea maswala ya kimechezo hasa wa ndon leo unakuja kusema AJ si lolote
Kweli wabongo taabu mkuu, Tyson mwenyewe alipigwa na Buster Douglas kama vile siyo yeye! Lewis alipigwa na Oliver Mcall na Rasim Rahman ambao si mabondia wenye historia iliyotukuka. Miezi kadhaa iliyopita Lewis alisema, if I had to choose between talent and experience, I would go for experience! Kwahiyo Lewis hakuwa akimpa AJ nafasi ya kushinda. Ushindi wa AJ ni salamu kwa wanaombeza. Pambano la Tyson Fury Klitchko hakujiaanda hivi after all it was extremely boring! CONGRATULATIONS AJ
 
Tupe record yake.... Huyo jamaa anapigana kama street fighter.. Miguvu iko mkono wa kulia tu. Sijaona skills..
His record tells everything: jana katimiza mchezo wa 19, yote alishinda kwa KO. Sasa ulitaka acheze kama fighter wa jinsi gani! Hao wanaocheza namna unayopenda si ndio amewabonda!? Hay give AJ the applause deserved.
 
Mimi kwa mtazamo wangu naona bado dogo hajapata mpinzani wa kweli.....ninaamini kabisa kama Wladimir Klistchiko angekuwa kwenye prime yake.....AJ angepoteza pambano kwa KO.....

Naweza kusema kuwa uzee umechangia kwa kiasi kikubwa sana kupigwa kwa WK.....

Hakuwa kwenye speed tuliyoizoea kwenye ringi.....

Naweza kusema kuwa kapigwa upper cut ya kizembe sana maana ni kama alikuwa anaisubiria.....

Kwa mchezo wa leo kama Aj angecheza dhidi ya bondia mwenye kasi.....nadhani round ya 5 tungekuwa tunazungumza mengine....

AJ anatakiwa ajiimrishe kiulinzi zaidi...bado mapema sana

Akiwa kwenye prime yake, Wladimir wako alitandikwa mara tatu na mabondia wa kawaida!!!
 
His record tells everything: jana katimiza mchezo wa 19, yote alishinda kwa KO. Sasa ulitaka acheze kama fighter wa jinsi gani! Hao wanaocheza namna unayopenda si ndio amewabonda!? Hay give AJ the applause deserved.
AJ sio bondia mzuri hajafika hata robo ya uwezo wa Tyson raund ya 5 alishakata moto sema tu kwa sababu ilishapangwa ashinde klitscho akamuacha tu
 
AJ sio bondia mzuri hajafika hata robo ya uwezo wa Tyson raund ya 5 alishakata moto sema tu kwa sababu ilishapangwa ashinde klitscho akamuacha tu
Teh teh teh eti Klitschenko kamuachia! Unafikiri ni kitu rahisi hivyo. Kumbuka katika pambano hilo watu wamebet mamilioni ya fedha halafu eti umuachie tu! Halafu acha kutuletea records za wala masikio kwenye ulimwengu wa ndondi. Basi angalao ungemtaja Ali Mohamed kuliko huyo Tyson. AJ anasifiwa kwa kuangalia umri wake na record anayoendelea kuweka anapoingia uringoni. Ukishindwa kuthamini positive achievement za wengine yaweza kukuathiri katika mtazamo wako wa kukukwamua kutoka hapo ulipo kwenda viwango vya juu vya mafanikio yako.
 
wadhamini wa hilo pambano ni kampuni ya kubet williamhill walishapanga matokeo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom