Fstborn
JF-Expert Member
- Nov 27, 2016
- 507
- 527
Hata Lewis kaliongelea hili baada ya kusikia Joshua alikataa kupigana Vegas (kabla ya kuletwa Wembley ilipangwa lipigwe marekani) akasema huwezi kuwa champ of the world kwa kupigana sehemu moja tu malegend wote wamezichapa marekani kwann yy akatae ila yote ya yote tumpe hongera kijana arekebishe baadhi ya vtu vichache atafika mbali maana raundi ya 6 ile pambano lilishaisha bc tu Klitschko nae umri umeenda dogo alishavurugwa asingempa pumzi ni combination ya right n left hooks punches!