Anthony Joshua afanikiwa kumtwanga Wladimir Klitschko katika pambano la uzito wa juu

Wladimir Klitschko mapambano yake ya nyumbani huwa anapigania Ujerumani, na pambano la mwisho kabla ya jana alipigwa na Tyson 'Gypsy King' Fury huko huko Ujerumani. Wladimir kashaisha, mtu kapigwa kwa TKO mtu unaleta ushabiki.
Muda wa Wladimir umeisha.....watu hawataki mabadiliko
 
Sijaona pambano la maana hapa, wala sijaona boxer hapa.

Mtu ana miaka 41 bado unamsubirisha hadi raudi ya 11, tena akiwa anaongoza kwa point?

Antany hakuna kitu, basi tu zali imemdondokea ila hauna kitu, hata kwa waingereza kina Player boy, Haye au Fury sidhani kama atatoka.

Baada ya Lenox Lewis sijaona tena boxer mwingine miaka ya hivi karibuni.

Boxers wangu wa muda wote ni Smoking Joe Frazier, Tysn, Lewis na kidogo Money ingawa aliniudhi sana kupaki basi mechi yake na mfilipino.
Ni kawaida kwa dunia ya sasa usipende kukalili kwamba ubora wa kina tyson utaendelea kuonekana... the same kwa football huwez pata level za kina gaucho kwa sasa....
 
kuwa bondia mzuri ni pamoja na kuhimili vishindo vya makonde makali na uwezo wako wa kukepa makonde.....vitu ambavyo Joshua hana.! ....kinachombeba ni uzito wa makonde yake na uwezo wake wa kushambulia mfululizo..!...Klitscho atajilaumu sana kupoteza hili pambano alitakiwa alimalize raundi ile ya tano dogo alishasurrender
Haya tunayaongea kwa sababu tuko nje ya ring ile round si ndo klitschko alilamba sakafu ujue na yy pumz ilikata ko alikuwa anavuta pumzi... Mm nadhana AJ atakuwa kajifunza kitu na kapata uzoefu wa kutosha kabisa kwamba next time anakutana na mtu ka WK anajipangaje...
 
Sisi wabongo banah yule tyson tunayemwona alikuwa bonge la fighter anamuelewa AJ ww huku hata kwenye ring hujawahi ingia na wala hujasomea maswala ya kimechezo hasa wa ndon leo unakuja kusema AJ si lolote
 
Anthony Joshua wanted to represent at the 2012 Olympics but was turned down by a coach in Abuja. He went on to win gold for England.
 
Nimefurahi kijana mwenzangu,Muafrica mwenzangu umeshinda pambano "gumu" kwani huyo mzungu tunamjua,pambano ambalo kila mtu na hata sisi weusi wenzio tulijua unakalishwa hasa pale ulipolegezwa Na makombora mazito ya yule mzungu.
Kiufupi unajua kuzichapa ila ombi langu kama unajua kiswahili Mimi ndugu yako katika "Ngozi" naomba hebu Nenda kalifanyie kazi swala la "pumzi" usije ukatutia aibu ..pumzi huna kabisa Mkuu.
Ww mwenyewe unajua kwamba sifa yetu africa imebaki ktk ngumi tu kutengeneza "missiles" hatujajaaliwa bado.Yaani pambano la Leo kama ungekutana Na mtu kama Tyson, Haya maneno yako "Can I go home" ungeenda kuyatamkia hospitalini St Thomas.
AJ akishinda huwa anasema hivyo au?
 
Fury sio mkali kivile anaweza chapwa na AJ, alizichapa na Klitschko akasinda kwa UD while AJ kamshinda kwa KO.
Fury ana 25 games kashinda 18 kwa KO na AJ ana 19 KO.

Wilder huyo ni namba chafu ana 38 games 37 KO 1 UD na 18ni KO Za 1st round. Alitaka kumua mtu ulingoni huyo.
Duuh
 
Sijaona pambano la maana hapa, wala sijaona boxer hapa.

Mtu ana miaka 41 bado unamsubirisha hadi raudi ya 11, tena akiwa anaongoza kwa point?

Antany hakuna kitu, basi tu zali imemdondokea ila hauna kitu, hata kwa waingereza kina Player boy, Haye au Fury sidhani kama atatoka.

Baada ya Lenox Lewis sijaona tena boxer mwingine miaka ya hivi karibuni.

Boxers wangu wa muda wote ni Smoking Joe Frazier, Tysn, Lewis na kidogo Money ingawa aliniudhi sana kupaki basi mechi yake na mfilipino.
Mayweather mashine nyingine ile.
 
Naona sasa mnaanza kuBwabwaja kama vibibi viuza ugoro... You dont know what happens in the ring..

Give credit and shut.

AJ is unbeatable.
Ni kweli AJ is currently undefeated, but has a lot to learn in this business, if Klitschko was brave enough to come out fully in the 5,6 &7th round he could won the fight. Don't tell me I don't know what happens in the ring while I have been watching the game for more than half my life time!! So shut up!!!!
 
Deontay “the bronze bomber” wilder vs anthony joshua “AJ” ,nadhani hili pambano litakuwa ni gharika,binafsi nampa alama za ushindi deontay wilder
 
Deontay “the bronze bomber” wilder vs anthony joshua “AJ” ,nadhani hili pambano litakuwa ni gharika,binafsi nampa alama za ushindi deontay wilder
I think this unification bout should be scheduled after 2 years so that to allow AJ to mature into a competitive boxer! Earlier than that it is going to be catastrophy to the Briton!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom