Anthony Diallo unamjua huyu?

Anthony Diallo unamjua huyu?

Kwanini haya hamuyasemi kabla ya mtu kuvuka mistari yenu ya upumbavu ???? Embu waacheni watu waseme ukweli bwana

Wewe nae punguza ujuaji,si uangalie kwanza Comment hii imepostiwa hapa lini kabla hujaanza kupuyanga na kumkashifu mwenzio,haya wewe na yeye nani hapa mpumbavu?
 
Ni hivi!

Sababu ya kuleta maswali haya ni kwamba. Enzi za Nyilabu akiwa BOT ilikuwa hawaruhusiwi kuwa na Biashara, hivyo Gavana Aliamua kumtumia Antoni Dialo katika uwekezaji wake. Na hivyo aliazisha kampuni kubwa ikiitwa SAHARA Communication ilikuwa inauza vifaa vya umeme under licence ya kampuni ya Ujerumani. Sasa wakati wote ilikuwa akifika Mwanza ilikuwa lazina afike kuona maendelea ya kampuni.

Lakini wakati Gavana akiwa kazini aliugua na kupelekwa kutibiwa nje Marekani lakini bahati mbaya alifariki na alipofariki kwa kawaida Mali zote zilibakia kwa Dialo. Na hadi kuabadili kampuni! Sasa kwa kuwa aliaminiwa Je aliweza kuwahusisha ndugu wa marehemu?

Na vipi kuhusu alipo aliyekuwa anafuatilia suala la mali hizi? Au Dialo anaendelea kuwa mwangalizi?

Bado nafuatilia nitakuleteeni ishu nzima.

Sent using Jamii Forums mobile app
Du...!.
P
 
Amesomea nursing? Yule ni Dr Antony Diallo,uliona wapi nesi mwanaume?

, kipindi nipo standard 3 nilikuwa nafahamu kuwa nurse anatakiwa awe mwanamke na Dr.anatakiwa kuwa mwanaume....Sema wewe umechelewa sana mkuu.
 
Naomba kuuliza maswali kadhaa kwa Ndugu Anton Dialo.

1. Unamfahamu aliyewahi kuwa Gavana wa BOT enzi ya utawala wa Hayati Mwl Nyerere?

2. Unaifahamu kampuni iliyokuwa inafanya biashara ya vifaa vya umeme wakati ikiitwa SAHARA Communication?

3. Hivi unaweza kutueleza nini Kikitokea baada ya Gavana Nyilabu alipokwenda kutibiwa nje ya nchi na kufariki dunia?

Yangu ni haya tu nikijibiwa ndo nitaazisha mjadala. Na hata kama sitajibiwa nitaazisha pia ili kuna Janbo tulijue kuhusu mtu huyu aliyetutangulia mbele za haki.
Pasua jipu baba, tunasubiri habari kamili.
 
Naomba kuuliza maswali kadhaa kwa Ndugu Anton Dialo.

1. Unamfahamu aliyewahi kuwa Gavana wa BOT enzi ya utawala wa Hayati Mwl Nyerere?

2. Unaifahamu kampuni iliyokuwa inafanya biashara ya vifaa vya umeme wakati ikiitwa SAHARA Communication?

3. Hivi unaweza kutueleza nini Kikitokea baada ya Gavana Nyilabu alipokwenda kutibiwa nje ya nchi na kufariki dunia?

Yangu ni haya tu nikijibiwa ndo nitaazisha mjadala. Na hata kama sitajibiwa nitaazisha pia ili kuna Janbo tulijue kuhusu mtu huyu aliyetutangulia mbele za haki.
Pole sana.Viongozi wote wakubwa wanafanya biashara na ktk kujilinda kisiasa hawapendi waonekane.Mara nyi gi hutumia kampuni ambazo ndani yake kuna wana hisa kuna wakati ktk wana hisa huoni jina lake ila wanawatumia wanasheria .Ndio maana huwezi ona jina la JK au Mkapa kwenye biashara yoyote hata kama ni majofity share holders.Kama Nyirabu aliwekeza bila maandishi then it is possible (kitu ambacho siamini)
 
Nyirabu hakufia Marekani- WEWE NI MUONGO
Huwezi kukiri kuua mtu halafu ukashindwa kueleza alikufaje

Nyirabu afariki dunia


GAVANA wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Bw. Charles Nyirabu, amefariki dunia. Habari zilizopatikana Dar es Salaam jana, zilisema Bw. Nyirabu ambaye alikuwa Gavana BoT kuanzia mwaka 1974 hadi mwaka 1989, alifariki dunia jana katika hospitali moja nchini Afrika Kusini. Mwili wa marehemu Nyirabu kwa
Fake news..sio kweli Nyirabu alikuwa Gavana kuanzia 1974-1989! Ni uwongo uliotukuka
 
Mletauzi siku siku ukitaka kufukua kaburi la mjaluo Lameck Ailo naomba unitag
 
Ungekuwa na lakuandika usingekuja kuomba mtu akujibu huku labda humu hayumo. Ungemwandikia barua na kumpelekea nyumbani kwake ukampatia mkononi.
Ameambukizwa uwandawazimu huyo.
vipi wewe bibie Chanel umenusurika kweli au jalada lipo Mirembe😂
 
Back
Top Bottom