Ni hivi!
Sababu ya kuleta maswali haya ni kwamba. Enzi za Nyilabu akiwa BOT ilikuwa hawaruhusiwi kuwa na Biashara, hivyo Gavana Aliamua kumtumia Antoni Dialo katika uwekezaji wake. Na hivyo aliazisha kampuni kubwa ikiitwa SAHARA Communication ilikuwa inauza vifaa vya umeme under licence ya kampuni ya Ujerumani. Sasa wakati wote ilikuwa akifika Mwanza ilikuwa lazina afike kuona maendelea ya kampuni.
Lakini wakati Gavana akiwa kazini aliugua na kupelekwa kutibiwa nje Marekani lakini bahati mbaya alifariki na alipofariki kwa kawaida Mali zote zilibakia kwa Dialo. Na hadi kuabadili kampuni! Sasa kwa kuwa aliaminiwa Je aliweza kuwahusisha ndugu wa marehemu?
Na vipi kuhusu alipo aliyekuwa anafuatilia suala la mali hizi? Au Dialo anaendelea kuwa mwangalizi?
Bado nafuatilia nitakuleteeni ishu nzima.
Sent using
Jamii Forums mobile app