Mshua's
JF-Expert Member
- May 22, 2013
- 806
- 554
Naona umeamua kuja ki - Fid Q
Naona umeamua kuja ki - Fid Q
Wewe mtoto wa Nyilabu ndio umeona uje unidhalilishe huku au?Mimi Diallo namjua mzee wako vizuri.Naomba kuuliza maswali kadhaa kwa Ndugu Anton Dialo.
1. Unamfahamu aliyewahi kuwa Gavana wa BOT enzi ya utawala wa Hayati Mwl Nyerere?
2. Unaifahamu kampuni iliyokuwa inafanya biashara ya vifaa vya umeme wakati ikiitwa SAHARA Communication?
3. Hivi unaweza kutueleza nini Kikitokea baada ya Gavana Nyilabu alipokwenda kutibiwa nje ya nchi na kufariki dunia?
Yangu ni haya tu nikijibiwa ndo nitaazisha mjadala. Na hata kama sitajibiwa nitaazisha pia ili kuna Janbo tulijue kuhusu mtu huyu aliyetutangulia mbele za haki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyirabu, Gilman Rutihinda, Daudi BalaliKama yumo humu.... akisoma comment yako, anaweza akaamua kuacha kazi...![]()
![]()
Teh teh teh teh teh teh teh teh parakata! Napita tu. Wacha nifukuzwe kazi maana hata mshahara wenyewe n wa mafungu. Hii issue n ukwl 100% mbona hata marafiki zake wote wanajua hata naniiiiiii.................Wewe mtoto wa Nyilabu ndio umeona uje unidhalilishe huku au?Mimi Diallo namjua mzee wako vizuri.
Emu tuyamalize haya kifamilia nimeomba namba ya account ya dada yako hajanitumia, nina millioni 77 apa nataka nikupe
ni bipu saivi
Hiyo sio tatizo kijana wangu. Nimeshaagiza waongeze mshahara asilimia42 kila idara. Wafanyyakazi wng wote ni familia yng. Tulikuwa na matatizo lakin tunyashughulikia.Teh teh teh teh teh teh teh teh parakata! Napita tu. Wacha nifukuzwe kazi maana hata mshahara wenyewe n wa mafungu. Hii issue n ukwl 100% mbona hata marafiki zake wote wanajua hata naniiiiiii.................
Sent using Jamii Forums mobile app
Now I can see the light. Diallo alikuwa mwanafunzi wa nursing miaka ya 80s hapo Bugando, hakumaliza chuo tukasutukia anaanzisha Sahara iliyokuwa inatengeneza birika ma majiko ya umeme..... Ukiuliza huyu amepata wapi utajiri huu unaambiwa alikuwa mchoji na aliupata Maganzo...... Naachia hapa niendelee kusomaNi hivi!
Sababu ya kuleta maswali haya ni kwamba. Enzi za Nyilabu akiwa BOT ilikuwa hawaruhusiwi kuwa na Biashara, hivyo Gavana Aliamua kumtumia Antoni Dialo katika uwekezaji wake. Na hivyo aliazisha kampuni kubwa ikiitwa SAHARA Communication ilikuwa inauza vifaa vya umeme under licence ya kampuni ya Ujerumani. Sasa wakati wote ilikuwa akifika Mwanza ilikuwa lazina afike kuona maendelea ya kampuni.
Lakini wakati Gavana akiwa kazini aliugua na kupelekwa kutibiwa nje Marekani lakini bahati mbaya alifariki na alipofariki kwa kawaida Mali zote zilibakia kwa Dialo. Na hadi kuabadili kampuni! Sasa kwa kuwa aliaminiwa Je aliweza kuwahusisha ndugu wa marehemu?
Na vipi kuhusu alipo aliyekuwa anafuatilia suala la mali hizi? Au Dialo anaendelea kuwa mwangalizi?
Bado nafuatilia nitakuleteeni ishu nzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekuwa na lakuandika usingekuja kuomba mtu akujibu huku labda humu hayumo. Ungemwandikia barua na kumpelekea nyumbani kwake ukampatia mkononi.
Subiri amalize acha kutoa conclusion, tunamjua huyu jamaa, hakuna marefu yasiyokuwa na nchaMleta maada ni mchonganishi, tuletee vielelezo hapa na siyo stori za mitaani za uongo uongo.
Jamaa anamaanisha kuwa Nyirabu alizichota akampa Diallo aanzishe biashara siyo!!?Inaonekana wewe ni ndg au MTU wa familia ya Charles Nyirabu sasa nimepata picha
..Hivi ndiyo ulitakiwa uongee.....mimi binafsi niliwahi kuuliza kiwanda hiki kwa nini kilifungwa ghafla na kilikuwa na bidhaa bora sana kwa wakati huo nakumbuka, lakini majibu mpaka leo sina.Ni hivi!
Sababu ya kuleta maswali haya ni kwamba. Enzi za Nyilabu akiwa BOT ilikuwa hawaruhusiwi kuwa na Biashara, hivyo Gavana Aliamua kumtumia Antoni Dialo katika uwekezaji wake. Na hivyo aliazisha kampuni kubwa ikiitwa SAHARA Communication ilikuwa inauza vifaa vya umeme under licence ya kampuni ya Ujerumani. Sasa wakati wote ilikuwa akifika Mwanza ilikuwa lazina afike kuona maendelea ya kampuni.
Lakini wakati Gavana akiwa kazini aliugua na kupelekwa kutibiwa nje Marekani lakini bahati mbaya alifariki na alipofariki kwa kawaida Mali zote zilibakia kwa Dialo. Na hadi kuabadili kampuni! Sasa kwa kuwa aliaminiwa Je aliweza kuwahusisha ndugu wa marehemu?
Na vipi kuhusu alipo aliyekuwa anafuatilia suala la mali hizi? Au Dialo anaendelea kuwa mwangalizi?
Bado nafuatilia nitakuleteeni ishu nzima.
Hii inaendelea kwenye ile thread ya awali ya MASWALI KWA ANTON DIALO
Sent using Jamii Forums mobile app
NYINYI WOTE WAOGO- DM INVESTMENT, MAJIKO YA SAHARA NA SAHARA COMMUNICATION-Ila kuhusu issue hii ni kweli nimewahi kuisiƙia sana ɓy the time naishi Mwanza wakati huo kampuni hii iƙiitwa Sahara Marƙeting iliƙuwa inasifiƙa sana ƙwa kutengeneza majiko ƴa Umeme ya sahara na zaiɗi hata vifaa vƴa raɗio na TV nasiƙia ƙampuni hii ilivinunuaga kitamɓo sana kaɓla ƴa mhusika hajafariki then ɓaaɗa ƴa kufariki nɗio iƙawa kama ilivƴo sasa
Wewe mleta Uzi acha maneno ya kiswahili...kwa nini asimjue nyirabu wakati alikuwa Gavana wa Bank kuu....??andika unachotaka kuandika siyo kutuletea mambo ya kitoto humu.....kwa hiyo unataka aandike anamjua,na anajua alikufa,na kilichotokea sahara....??!!acha upuuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
..Hivi ndiyo ulitakiwa uongee.....mimi binafsi niliwahi kuuliza kiwanda hiki kwa nini kilifungwa ghafla na kilikuwa na bidhaa bora sana kwa wakati huo nakumbuka, lakini majibu mpaka leo sina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ataka Dialo Ajue na aache kujipendekeza na kujiona ana maana sana.