misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 17,047
- 13,177
gwajima alikuwa na shaka hadi uraia wake...no wonder alitetea sana mwenzao wa kanda maalumu pamoja na bashite, hadi na phd yake alikuja hapa siku moja anatuambia ati anaamini bashite ni illuminant/usalama mwenye majina anonymous, hivi usalama wa taifa anaweza kuwa empty headed kiasi kile? kama alizulumu mali za watu arudishe.Kumbe hata Sahara Communication sio yake!! Ndo maana huwa siamini matajiri wa kiafrika, unakuta anahamasisha ujasiriamali wakati yeye ana miliki mali zisizo halali.
Diallo yupo jf? Ila naomba msamaha kwa ndugu JOVEREST maana niwahi nafasi yake leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Christopher Nƴaraɓu haƙufariƙi aƙiwa gavana ɓali alikuwa ni ɓalozi na nɗio maana alikuwa anaitwa Ɓalozi Christopher NƴiraɓuNi hivi!
Sababu ya kuleta maswali haya ni kwamba. Enzi za Nyilabu akiwa BOT ilikuwa hawaruhusiwi kuwa na Biashara, hivyo Gavana Aliamua kumtumia Antoni Dialo katika uwekezaji wake. Na hivyo aliazisha kampuni kubwa ikiitwa SAHARA Communication ilikuwa inauza vifaa vya umeme under licence ya kampuni ya Ujerumani. Sasa wakati wote ilikuwa akifika Mwanza ilikuwa lazina afike kuona maendelea ya kampuni.
Lakini wakati Gavana akiwa kazini aliugua na kupelekwa kutibiwa nje Marekani lakini bahati mbaya alifariki na alipofariki kwa kawaida Mali zote zilibakia kwa Dialo. Na hadi kuabadili kampuni! Sasa kwa kuwa aliaminiwa Je aliweza kuwahusisha ndugu wa marehemu?
Na vipi kuhusu alipo aliyekuwa anafuatilia suala la mali hizi? Au Dialo anaendelea kuwa mwangalizi?
Bado nafuatilia nitakuleteeni ishu nzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaitwa CHARLSE NYIRABU not ChristopherChristopher Nƴaraɓu haƙufariƙi aƙiwa gavana ɓali alikuwa ni ɓalozi na nɗio maana alikuwa anaitwa Ɓalozi Christopher Nƴiraɓu
Christopher au Charles Nyirabu?!!!!!!Christopher Nƴaraɓu haƙufariƙi aƙiwa gavana ɓali alikuwa ni ɓalozi na nɗio maana alikuwa anaitwa Ɓalozi Christopher Nƴiraɓu
3: Hata mwl alienda kutibiwa nje hakurudi Mzima.Naomba kuuliza maswali kadhaa kwa Ndugu Anton Dialo.
1. Unamfahamu aliyewahi kuwa Gavana wa BOT enzi ya utawala wa Hayati Mwl Nyerere?
2. Unaifahamu kampuni iliyokuwa inafanya biashara ya vifaa vya umeme wakati ikiitwa SAHARA Communication?
3. Hivi unaweza kutueleza nini Kikitokea baada ya Gavana Nyilabu alipokwenda kutibiwa nje ya nchi na kufariki dunia?
Yangu ni haya tu nikijibiwa ndo nitaazisha mjadala. Na hata kama sitajibiwa nitaazisha pia ili kuna Janbo tulijue kuhusu mtu huyu aliyetutangulia mbele za haki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ƴes! Ni Charles Nƴiraɓu ɓut Christopher ni Ƙaka ƴaƙeChristopher au Charles Nyirabu?!!!!!!
Huu mwaka Diallo atakimbia nchi , kumbe alimdhulumu Nyirabu , kuna kitu kimenigusa hapo , kumbe hata yule aliyekuwa anafuatilia hizi mali za marehemu naye katoweshwa !mkuu funguka yoote hapa
ndugu joverest amekua mvivu kidogo ndani ya wiki hii, maana watu wengi tumekua tuna muwahi na kuchukua namba yake adhim ya kua mchangiaji wa kwanza kwa kila post......hahahahaha
au yupo Kenya anafutilia uchaguzi mkuu?Kwa mujibu wa Askofu Gwajima hata uraia wake sio wa Tanzania.Kumbe hata Sahara Communication sio yake!! Ndo maana huwa siamini matajiri wa kiafrika, unakuta anahamasisha ujasiriamali wakati yeye ana miliki mali zisizo halali.
Anachanganya Kama sikosei charles nyirabu alikuwa gavana wakati Christopher nyirabu alikuwa daktari bingwa zao ni wasomi nadhani walikuwa mtu na Mdogo wake