Anthony Diallo anazeeka vibaya

Mie namuunga mkono Diallo, mahojiano yake kwenye ajenda! Yuko sahihi wacha watu wafunguke uenda hayata jirudia!
 
Hawa wakina Diallo,ndio Magufuli alisema.Unaweza kumbeba mgongoni na kumvusha MTO.Ukivuka MTO tu.Anasema limgongo lako linanuka.Huyu Diallo kama aliona Magufuli hamtendei wema.Kwann hakujiuzuru kwa kutumia hata unafiki?Hawa ni wanafiki mbwa .Magufuli amewasaidia ,sasa wanalipa ubaya.RIP baba Magufuli.Wanafiki wote watahaibika.
Vyombo vya habari vya Diallo vimeibeba sana ccm na Magufuli wake wakati wa chaguzi zote mbili zilizomuhusisha mwendazake. Diallo alitegemea hisani kubwa kutoka serikali ya ccm kutokana na mchango huo lakini badala yake wakavifungia vyombo hivyo!! Naona hapo uzalendo ulipomshinda Diallo!!😂😂
 
Back
Top Bottom