Answar sunna pokeeni maua yenu

Answar sunna pokeeni maua yenu

shibela

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2018
Posts
3,158
Reaction score
10,358
Habari za asubuhi
Hawa waislam wa Ansal sunn sijui ndo inaandikwa hivyo wale wanaovaaga don't touch my shoes aisee wengi wao ni waaminifu ukifanya nao biashara!
Nimeshafanya biashara na wa hivyo zaidi ya watatu nabaki na hela Yao au wao wanabaki na ya kwangu na hatujawahi kuzinguana!!!!
Pokeeni maua yenu!!!
 
Safi sana.
Lakini usiwape ile kitu kipenzi
 
Na Madem zao ndo wanavaaje vile?
Kawaida Tu kama waislam wengine wa kike japo wananikeraga nikimkuta mwanamke kabeba katoto mgongoni halafu kamfunika na lile baibui jeusi halafu kipindi cha joto!!
 
Kawaida Tu kama waislam wengine wa kike japo wananichoshaga nikimkuta mwanamke kabeba katoto mgongoni halafu kakafunika na lile baibui jeusi halafu kipindi cha joto!!
Videm jau hivyo...
 
Habari za asubuhi
Hawa waislam wa Ansal sunn sijui ndo inaandikwa hivyo wale wanaovaaga don't touch my shoes aisee wengi wao ni waaminifu ukifanya nao biashara!
Nimeshafanya biashara na wa hivyo zaidi ya watatu nabaki na hela Yao au wao wanabaki na ya kwangu na hatujawahi kuzinguana!!!!
Pokeeni maua yenu!!!
Naunga mkono hoja.
Jamaa hawapendi dhulma.
 
Back
Top Bottom