kizazi kipya
JF-Expert Member
- Jul 21, 2010
- 327
- 62
Nyie wana ccm mna tatizo moja kubwa la uvivu wa kufikiri...hamtaki kusumbua kichwa kila mara mnakuja na majibu mepesi na hoja dhaifu kny mambo ya msingi.Ndio maana hujasumbua kichwa kutafakari hoja kny hii makala kama kawaida ukaja na majibu yenu ya kitoto.Ukirudi utasema katumwa na wapinzani aje kuandika.Chuki gani zinapandikizwa hapa tumia kichwa kufikirikaandika kwa hisia zake af anasingizia kuwa ni watu wa ccm.yeye anapandikiza chuki zake kwa jamii baada ya kukosa ile nafasi ya mkugenzi wa habari ikulu kama alivotarajia.Ansbert Ngurumo ukimfahamu wala hakupi shida.