Chakunyuma
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 810
- 152
ccm ni mixture ya ASP & TANU na ni viongozi wa vyama hivyo vilivyoungana walikiongoza kwa mmuda mrefu na sera zao ndio zipo kwenye ccm ya sasa. Unaweza sema hakikuzaliwa bali kilipatiwa jina jipya lengo lilikuwa kuondoa utofauti wa majina ili kupata nguvu ya umoja.CCM imezaliwa mwaka 1977. Hivi sasa ina miaka 35. Mwandishi anaueleza umma kuwa CCM bado itakuwa na nguvu kwa miaka mingine 15 mpaka itakapotimiza miaka 50. Si haba...