CCM ni Lowasa pekee?
Mbona walishahamia CDM wengi toka CCM hamkulalamika?.
Kelele zenu zinareflect maumivu mliyonayo mioyoni mwenu.
Najaribu kujiuliza:-
1. List of shame ilitangazwa 2007, Lowassa na Richmond ilikuwa 2008; kwa nini CDM wanaitumia hii eti ndiyo ilisababisha wamweke kwenye list?
2. Mwl Nyerere aliwahi kumkataa Lowassa na CDM wana ushahidi na wamewahi kuitamka hii kwenye mikutano yao, leo wanasemaje kwamba Lowassa ni msafi?
Anyway, hizi ndiyo siasa zetu.
Hana jipya huyo ni maana tonge kama wengine,anaujua ukweli ambao hawezi pingana nao.VIP kura za maoni si kapigwa chini alizusha kupitia gazeti hilo kwamba yeye ndo kiboko yao?ngurumo ninayemfahamu ni wapumbavu wanaoweza kumwamini tu.
Nadhani hapo ulimanisha 1995. na sio 2005
Kwani Nyerere ni Mungu, huwezi kumkataa binadamu mwenzio wakati ujamuumba, hata wewe ukiacha mke leo, siku tatu anapata mtu anaolewa wewe unabaki na mshangao.
Kikwete alikuwemo na yumo kweye list of shame...Iweje leo ni Rais?? Kulitokea nini akashinda uchaguziwa 2010?? Mbona haikusemwa sana hiyo list mwaka ule? Iweje leo? Enyi watanzania ni nani katuroga? Kunya anye JK akinya EL yananuka eeeeh.! Swain.
Ufisadi unachukua muda kufahamika kwenye Jamii, inaweza kuchukua mwaka mmoja mpaka muongo moja (Miaka 10) au zaidi.
Ukisikia ufisadi mwaka huu jua Dili hiyo ya kifisadi ilichezwa miaka kazaa nyuma. Kwa mfano Ufisadi wa Escwro tumeusikia hivi karibuni ni zao la Dili iliyopigwa miaka mingi ilyopita.
Kwa utangulizi huo naomba kujibu maswali yako kam ifuatavyo
1. Chadema kama ilivyo kwa vyama vingine makini ina interegencia kali kufahamu siri nyingi hasa zinazohusiana na Ufisadi mapema kabla ya wananchi ewngine wakawaida kufahamu.
Wakati wanatoa List of Shame 2007 walikua tayari wanajua Ufisadi wa Richmond japo Ufisadi wenyewe Publicaly ulijulikana 2008.
2. Kuhusu Mwl Nyerere kumkataa Lowassa tayari Kingunge ameshalifafanua nitalielezea kifupi hapa.
2005 wakati wa mchakato wa kumpata mpeperusha bendera wa CCM, majina matano yaliletwa na CC kwa NEC ili yachaguliwe majina matatu, katika majina hayo matano jina la Lowassa halikuwemo wajumbe wa NEC walihoji sana kwaninin jina la Lowassa halikuwepo walihoji sana mpaka kutishia mchakato kutoendelea, ndipo Mwl Nyerere akashituka kua kumbe Lowassa ananguvu kiasi hicho. Ili kutuliza munkari wa wajumbe wa NEC ndipo Kingunge akaleta sababu za Lowassa kukatwa na CC, Nyerere akatumia hoja hizo za Kingunge kuwezesha mchakato uendelee.
Hivyo basi Kingunge na Nyerere walifanya hivyo tu kunusuru mchakato na kurinda Heshima ya Chama, na hatuwezi kuhukumu kua Nyerere alimkataa Lowassa. ilikua KISIASA zaidi.
Unafiki wenu ndio umewatawala.hakuna lolote,WAtanzania tunawalewa vizuri.
Kumbe hujui kitu hata malaya magdalena alivyotubu sasa hivi anaitwa Mtakatifu, Lowassa amejieleza mbele yetu tumemsikiliza tukamsamehe, tukampokea.Kwani walipokuwa wanaitumia hii na tunawasapoti hatukujua kama Nyerere sio Mungu?
Kama mke nimemwacha kwa sababu ni malaya na jamii inajua ni malaya, na akaolewa na mmoja kati ya watu waliokuwa wanamwita ni malaya; kuolewa hakutabadili ile sifa ya yeye kuwa ni malaya.
Njaa ukiiamishia kichwani mavi unaweza kuyaita ugali fisadi wa kuaminika leo anatetewa na watu ambao walikua mstali wa mbele kupinga ufisadi