sijui weye uko wapi maana twafanyia home kwake tabata kisukulu migombani huku,wahi uje uchome mbuzi
mana upande wa vinywaji walevi washawahi
Happy birthday!
Asante sana bidada.... Mie nakusubiria....Usisahau kuja na chocolate za bebi
Asante sana bidada.... Mie nakusubiria....Usisahau kuja na chocolate za bebi
Asante sana wifi yangu. Kwa kweli namshukuru sana MUNGU kwa hapa nilipofikia...
Ok nitakuja nayo ya kutosha kabisa.
Salimia jirani zako hapo mtaani kwako.