Chamoto JF-Expert Member Dec 7, 2007 8,339 17,583 Jul 17, 2019 #2 Haha, niliiona hii video wikiendi, kumbe na wewe unapata updates hizo hizo youtube kama mimi.
Ummayed JF-Expert Member May 21, 2019 6,155 2,573 Jul 17, 2019 #4 Ila bro hii iko poa. China did good to Cuba. Nahisi hii ndio MGR ya Cuba aisee Geza Ulole said: Click to expand...
Ila bro hii iko poa. China did good to Cuba. Nahisi hii ndio MGR ya Cuba aisee Geza Ulole said: Click to expand...
Ummayed JF-Expert Member May 21, 2019 6,155 2,573 Jul 17, 2019 #6 Mkuu sijaelewa mbona wenyewe wanasifia hii gari moshi? Wapi wachina wamewapiga hawa jamaa?? danja de genzo said: Ila wachina mungu anawaona Click to expand...
Mkuu sijaelewa mbona wenyewe wanasifia hii gari moshi? Wapi wachina wamewapiga hawa jamaa?? danja de genzo said: Ila wachina mungu anawaona Click to expand...
eliakeem JF-Expert Member May 29, 2009 15,660 13,805 Jul 17, 2019 #7 danja de genzo said: Ila wachina mungu anawaona Click to expand... Wakenya waandamane dhidi ya mchina, tutawasaidia kuandamana.
danja de genzo said: Ila wachina mungu anawaona Click to expand... Wakenya waandamane dhidi ya mchina, tutawasaidia kuandamana.
danja de genzo JF-Expert Member Aug 14, 2015 528 745 Jul 18, 2019 #8 Sisi mwendo wetu wa twiga hatuna haraka tunataka kitu quality
Ummayed JF-Expert Member May 21, 2019 6,155 2,573 Jul 18, 2019 #9 Mbona wakenya wanasema reli yetu haiwez beba bullet train? danja de genzo said: Sisi mwendo wetu wa twiga hatuna haraka tunataka kitu quality Click to expand...
Mbona wakenya wanasema reli yetu haiwez beba bullet train? danja de genzo said: Sisi mwendo wetu wa twiga hatuna haraka tunataka kitu quality Click to expand...