Another mchungaji!

Another mchungaji!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Akiwa taabani kitandani,mchungaji alimwita lawyer mmoja na banker mmoja ambao ni waumini wake.Lawyer na Banker waliitikia wito haraka.Walipofika,mchungaji alimwambia Lawyer asimame kushoto kwa kitanda na Banker asimame kulia.Baada ya Lawyer na Banker kujipanga,mchungaji hakusema neno tena,akayaelekeza macho yake darini.Lawyer ikabidi amuulize mchungaji;"inakuwaje umetuita halafu huongei,unatazama juu tu?".Mchungaji akajibu;"Yesu alipokufa msalabani,alikufa katikati ya wezi wawili,na mimi nataka nife kama alivyokufa yesu katikati ya wezi wawili!".
 
Lakini mwizi mmoja alitubu na alimuomba Yesu amkumbuke kwenye ufalme wake na Yesu alimuahidi kwamba atakuwa naye kwenye ufalme wa baba yake. Je aliyetubu atakuwa ni banker au lawyer? Ni yupi kati yao ambaye ni rahisi kuelewa/kukiri kwamba ametenda kosa?
 
<br />
<br />
Nadhani banker ataelewa na kutubu haraka,ila lawyers wote kama Tundu Lisu wana hulka ya ubishi!
 
Jaguar utakuwa pembeni yangu cku ya mauti yangu!!tehe tehe!!
 
Jaguar utakuwa pembeni yangu cku ya mauti yangu!!tehe tehe!!
<br />
<br />
Yeah,mimi pembeni yako na wewe pembeni yangu,kwanza kwa jina lako tu 'chapaa',huna tofauti na banker,teh teh teheee!
 
mimi ntamuita ff na husninyo.na hii itakula kwa ff moja kwa moja coz ni mbishi.piga ua lazima husninyo nimkumbuke katika ufalme wangu.lakini ff nitaongezea kuni aungue vizuri lol.mia
 
Katika safari yangu mimi kuelekea mbinguni,lazima nizungukwe na WACHAGA wawili,kwa msisitizo mentor atakaa kulia!
 
Lawyer na Banker ni watu wastaarabu hawezi kuwa wezi, ijapokuwa wizi unaaina yake. Yesu alikuwa na wahalifu na wasioncha Mungu. UPOOOOOOOOO
 
banker aisee, lawyer atajidahi mjuaji na masheria yake mkuu!
Lakini mwizi mmoja alitubu na alimuomba Yesu amkumbuke kwenye ufalme wake na Yesu alimuahidi kwamba atakuwa naye kwenye ufalme wa baba yake. Je aliyetubu atakuwa ni banker au lawyer? Ni yupi kati yao ambaye ni rahisi kuelewa/kukiri kwamba ametenda kosa?
 
Katika safari yangu mimi kuelekea mbinguni,lazima nizungukwe na WACHAGA wawili,kwa msisitizo mentor atakaa kulia!

Mentor nkwi kukai... osho na kunu....osho na kyandu na ifumu....tehteh teh teh
 
Hahahaaa, huyo lazima atakuwa kama hawa wachungaji wetu wa dot com....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom