Hahahaaa sijakutosa mangi, mizunguko ya town na mvua hizi imekuwa tight, upo? Halafu bora nami nihamie kwenye toyo hizi crash ziishe maana naona zinaongezeka tuu na kunichanganya kichwa.
Usiishiwe ham bana...pls
Mjini ukiwa na gari ni rahisi sana kuoa/kuolewa.
You might be right though I dont think so coz nilishaamuaga kuwa single for my own reasons sasa hz crash zanchanganya why zije kwa kufuatana na zinaonekana kuwa na nguvu japo napigana nazo nibaki kwenye set yangu ya u single....
Mmmhhhhh!!!!
Nipo mpendwa niliponyoka lile dege lilipotea... hahahhaaa
Karibu bodabodani huku walao ukivaa helmet unakata tu upepo kama firstjet.
Wishing you luck... hope next haitakua tu crush...
..maamuzi yako ni mazuri ila je, mwili unaweza?? Kuwa single sio kitu rahisi sana, ndio maana ukiwa kwenye gari mara akapita mtu akigonganisha macho ma wewe mwili unashtuka kidogo, akili inasimama kidogo, I just think that you ought to review your decision, coz your actions show that you can't keep the promise you made to yourself.
Ni nini sasa?
Habari za mijengo yenu wapendwa, leo tena imejirudia crash kama ile ya kipindi kile sasa sjui mie ni wa crash tuu. Na kama wakati ule sijapata nafasi ya kuchukua namba ya simu ila tulipigiana honi tuka smile.
Mara hii nilikuwa natoka airport kufatilia mzigo flani nikasema wacha nipite sokoni buguruni nichukue matunda ya kutengeneza smoothie za wiki nzima. Sasa narudi home kupitia mandela road nikiwa kwenye mataa ya buguruni ikaja nissan march T....CSL ilikuwa ya rangi ya orange. Tumetazamana weeh mwisho tuliporuhusiwa tukiwa mandela road ndo tukapigiana honi, this time nilikuwa kwenye grand noah V6, sasa mie nikabaki nyuma nilikuwa naenda sped 40 yeyeakatangulia akaniacha ila kufika tabata kubwa nikaona anakata kuelekea tabata basi ndo ikaishia hapo.
Nimejiuliza tuu, nitapata mume kupitia crash za barabarani hivi maana hii mara ya pili sasa. Halafu huyunaeni m cutee, yaani hand some kweli mmmhhh Kasinde mie nini kinanitokea...???
Ntarudi kwenye bajaji maana naona hizi crash.... sjui mwisho wake labda ndo husband anakuja kwa njia hiyo.... let me see mwisho wake utakuweje....!!!!
Usiku mwema nyote!!
Hata kama gari ni STJ, STK, SU, DFP, SM?
Halafu nilitaka kusema hili mara zote napata mgongano huo hata wanja sijapaka, yaani sijapaka poda wala lips shine wala make up ya aina yoyote. Nilikuwa naturali ila jamaa akaanza na mambo!! Na kama yako ni duet haukuwa wewe tha car was nissan na nyuma ya gari siti ya nyuma alikuwa ameweka tenga la plastiki kama la kuwekea pakti za maziwa au mikate. Sorry braza it wasnt u!!
hahahahaha do ze nidfuli miss neddy.hahahaha tatizo nikikupa ufafanuzi huchelewi kuchukua fursa
Hahahaaaa umenifurahisha kwa kweli, thanks man kwa kujitoleaNi PM basi tufunge mjadala na wajumbe hapa waendelee kuisaka MH370 na kufuatilia bunge na npo serious sana u jst PM fasta hutojutia maamuzi yako. Na kuhusu Toyo pia pale mh2 wameanzisha wadi maalum kabisa na zipo spea za viungo toka uchina
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums